🚨 Apple na Google zimethibitisha kuwa taasisi na mamlaka za Kiserikali zinachunguza na kufahamu taarifa za watu kwa kutumia mfumo wa Push Notifications.
Mfumo wa Push Notification unaweza kuonyesha messages zako, apps ambazo unatumia sana, vitu ambavyo unatumiwa na watu ambao unawasiliana nao.

🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka picha au video kwenye Status bila kupunguza ubora wa picha/video.
WhatsApp itaweka option ya HD katika sehemu ya kuweka Status hivyo mtumiaji wa WhatsApp ataweza kuweka picha/video bila kupunguza ubora wa picha au video.

Threads app kutoka Instagram imeongeza kipengele cha hashtag kilichokuwa kinasubiliwa na wengi ndani ya mtandao huo.
Hivi sasa watumiaji wataweza kuongea alama ya # kupitia maandishi au kitufe kidogo sehemu ya kuanda thread post.
Alama hii inaelekeza post zote jumuishi chini yake na kuzileta pamoja kama ilivyo kawaida kupitia mitandao na majukwaa mbalimbali mtandaoni.
#Hashtag #Threads

WhatsApp Channels sasa zinaweza kuwa na admin wengi.
Wamiliki wa WhatsApp Channels wanaweza kuwaalika watu wengine kusimamia. Kipengele hiki kinawapa admins wapya uwezo wa kutuma masasisho na kutazama maelezo ya mmiliki/muanzilishi wa WhatsApp Channel.
#WhatsApp #WhatsAppChannels

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Hizi Hapa "DETAILS" Zilizofichwa /GTA VI Trailer Review
#snashtz #games #gta6

GEMINI: Akili Bandia Kutoka Google, Pengne Mshindani Mkubwa Wa ChatGPT!
https://teknolojia.co.tz/gemini-akili-bandia-kutoka-google-pengne-mshindani-mkubwa-wa-chatgpt/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=gemini-akili-bandia-kutoka-google-pengne-mshindani-mkubwa-wa-chatgpt

TeknoKona Teknolojia Tanzania
GEMINI: Akili Bandia Kutoka Google, Pengne Mshindani Mkubwa Wa ChatGPT!
Unakumbuka kuna muda google walikuja na akili bandia inayoitwa Bard? Kwa sasa wamekuja na akili bandia ambayo ni kubwa kuliko ya mwanzo ambayo inakwenda kwa jin
🆕 MacDonald imesema 2024 itaanza kutumia Akili Bandia ya Google ili kutambua kama chips zimeiva vizuri na kusimamia shughuli za maandalizi ya vyakula na usimamizi wa baadhi ya shughuli.
corporate.mcdonalds.com/corp…
corporate.mcdonalds.com/corp…