Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Sw.Tek (Twitter)

Picha zake 👇🏼
Sw.Tek (Twitter)

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka uwezo wa kuweka Status za WhatsApp kwenye Instagram na Facebook kwa pamoja.

Miezi 7 iliyopita WhatsApp ilianza kuweka uwezo wa ku-post Status kwenye WhatsApp na Facebook kwa pamoja. Sasa hivi WhatsApp inajaribu kuunganisha Status za WhatsApp na Instagram Stories.

Watumiaji wa WhatsApp wataweza kuunganisha akaunti za Instagram kwenye WhatsApp. Status ambayo unaiweka kwenye WhatsApp zitakuwa zinaweza kujiweka katika Instagram automatic.

Mabadiliko haya yameanza kwa watumiaji wa Android ambao wanatumia toleo la 2.23.25.20.
🆕 Google imetambulisha Akili Bandia mpya ya Gemini https://twitter.com/Google/status/1732421837026369943#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kujitoa kwenye CALL DIVERT na CALL FORWARDING
Jinsi ya kujitoa kwenye CALL DIVERT na CALL FORWARDING

kuondoa call forwarding, kumjua anae sikiliza simu zako, kujitoa call divert kwenye simu yako
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Google - Imejengwa kuwa ya multimodal, Gemini inaweza kuongeza jumla, kuelewa, kufanya kazi kote na kuchanganya aina tofauti za habari - kama maandishi, picha, sauti, video na msimbo.
Imejengwa kuwa ya multimodal, Gemini inaweza kuongeza jumla, kuelewa, kufanya kazi kote na kuchanganya aina tofauti za habari - kama maandishi, picha, sauti, video na msimbo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Google - Gemini ni mfano wetu rahisi zaidi bado, umejengwa kwa ufanisi kwa kila kitu kutoka kwa simu za rununu hadi vituo vya data vilivyo na saizi tatu: - Gemini Ultra: Mfano mkubwa kwa kazi ngumu sana - Gemini Pro: Bora kwa kuongeza kazi anuwai -Gemini Nano: Kwa kazi za kifaa
Gemini ni mfano wetu rahisi zaidi bado, umejengwa vizuri ili kuendesha kila kitu kutoka kwa simu za rununu hadi vituo vya data vilivyo na saizi tatu: - Gemini Ultra: Mfano mkubwa kwa kazi ngumu sana - Gemini Pro: Bora kwa kuongeza kazi anuwai - Gemini Nano: Kwa kazi za-kifaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CAR LIGHTS THAT TAKE YOUR VEHICLE TO THE NEXT LEVEL
Mind Warehouse ►
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Learn Anything FASTER With ChatGPT
🔥 Unlock the secrets to supercharged learning with our latest video: "Learn Anything FASTER With ChatGPT"! 🔥

Are you ready to revolutionize your learning experience? In this game-changing tutorial, we dive deep into the incredible world of accelerated learning, powered by the cutting-edge ChatGPT technology. Whether you're a student, a professional, or simply a knowledge enthusiast, this video is your ticket to mastering any subject at an unprecedented speed!

🎓 What to Expect:
Introduction to ChatGPT: Discover the revolutionary language model developed by OpenAI that is transforming the way we learn. Uncover the science behind ChatGPT and how it can enhance your cognitive abilities.

💡 Proven Learning Techniques: Learn a variety of effective strategies and techniques that leverage ChatGPT to supercharge your learning proces...
🆕 Android Auto imeanza kuweka uwezo wa kuhifadhi location ya eneo ambalo umepaki gari yako.

🔘 Itaunganisha sehemu hiyo na app ya Google Map hivyo itakuwa rahisi kuona location ambayo mara ya mwisho ulihifadhi gari lako.
🚨 Apple na Google zimethibitisha kuwa taasisi na mamlaka za Kiserikali zinachunguza na kufahamu taarifa za watu kwa kutumia mfumo wa Push Notifications.

Mfumo wa Push Notification unaweza kuonyesha messages zako, apps ambazo unatumia sana, vitu ambavyo unatumiwa na watu ambao unawasiliana nao.
🆕 Chrome itaweka uwezo wa kutengeneza themes kwa kutumia Akili Bandia
🆕 Facebook Messenger imeweka mfumo wa end-to-end encryption kwa watumiaji wote.
🔘 Mfumo wa E2E utakuwa by default kwa watumiaji wote.
🔘 Facebook haitakuwa na uwezo wa kusoma chats na kusikiliza calls.
🔘 Ni feature ambayo imechukua muda sana kuwekwa!
🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka picha au video kwenye Status bila kupunguza ubora wa picha/video.
WhatsApp itaweka option ya HD katika sehemu ya kuweka Status hivyo mtumiaji wa WhatsApp ataweza kuweka picha/video bila kupunguza ubora wa picha au video.