Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COOL TOOLS YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) DYNELLO® Fastwinder
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Strings In Python Are Weird, Seriously
Ever wondered why strings behav
sharefiles.sharemusic.shareapps.filetransfer_14020.apk
18.2 MB
sharefiles.sharemusic.shareapps.filetransfer_14020.apk
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C |#cs50
Jifunze coding kutokea zir
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INCREDIBLE URBAN TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Wa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How To Create Custom GPTs
🚀 Welcome to ChatGPT Tutorials 🚀

In this groundbreaking tutorial, we dive deep into the exciting world of creating Custom GPTs! If you've ever wondered how to tailor the power of GPT technology to your specific needs, look no further – we've got you covered.

🛠️ Unlock the Potential:

Learn step-by-step as we guide you through the process of crafting your very own Custom GPT. From setting up the development environment to fine-tuning the model, we leave no stone unturned. Whether you're a seasoned developer or just starting, this video caters to all skill levels.

🎓 What You'll Learn:

Understanding the fundamentals of GPT architecture
Setting up the development environment
Customizing the training data for specific applications
Fine-tuning hyperparameters for optimal performance
Integrating your Custom GPT into real-world projects

🔍 SEO-Optimized Insights:

We've packed this tutorial with SEO-optimized stra...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

power station portable, can save bills and store backup power, ALLPOWE
Sw.Tek (Twitter)

Jumatatu ya wiki hii, Kampuni ya magari ya Toyota imezindua aina mpya ya gari ya Urban SUV ambayo ni concept ya gari mpya ya umeme itakayoanza kuingia sokoni mwaka 2024.

Ni gari ya bei ya chini ukiilinganisha na washindani wake kama vile EX30 ya Volvo.

Itakuwa na model ya front-wheel na all-wheel drive; itaweza kutembea umbali wa Kilomita 450 mpaka 500Km ikiwa full-charge. Bei yake itakuwa ni takribani Milioni 78.
Sw.Tek (Twitter)

Picha zake 👇🏼
Sw.Tek (Twitter)

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka uwezo wa kuweka Status za WhatsApp kwenye Instagram na Facebook kwa pamoja.

Miezi 7 iliyopita WhatsApp ilianza kuweka uwezo wa ku-post Status kwenye WhatsApp na Facebook kwa pamoja. Sasa hivi WhatsApp inajaribu kuunganisha Status za WhatsApp na Instagram Stories.

Watumiaji wa WhatsApp wataweza kuunganisha akaunti za Instagram kwenye WhatsApp. Status ambayo unaiweka kwenye WhatsApp zitakuwa zinaweza kujiweka katika Instagram automatic.

Mabadiliko haya yameanza kwa watumiaji wa Android ambao wanatumia toleo la 2.23.25.20.