Vivo Mbioni Kuachia Simu Janja Mbili Za Kujikunja (Flip)! #VivoSFlip #VivoVFlip
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Vivo Mbioni Kuachia Simu Janja Mbili Za Kujikunja (Flip)! #VivoSFlip #VivoVFlip
Simu janja za kujikunya (Flip) zinakuja kwa kasi sana na makampuni mengi ya simu ya mpango mkakati wa kutengeneza na kuuza simu hizi na Vivo ikiwa ni moja wapo. Katika soko la simu za kujikunja linazidi kukuwa sana na soko hili linaongozwa na kampuni ya Samsung…