futa.py
925 B
Example:
/futa articulo.pdf
⚠️ inafuta kweli usijalibishie kitu ambacho hutaki kifutwe
/futa articulo.pdf
⚠️ inafuta kweli usijalibishie kitu ambacho hutaki kifutwe
Gmail Na Uwezo Wa Kutafrisi Barua Pepe (Email) Ndani Ya App Ya Gmail Kwenye Simu!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Gmail Na Uwezo Wa Kutafrisi Barua Pepe (Email) Ndani Ya App Ya Gmail Kwenye Simu!
Mara kwa mara Gmail imekua ikifanya maboresho au kuongeza vipengele mbalimbali ili kuhakikisha inateka mioyo ya wateja wake. Sasa hivi ni zamu ya App yake katika simu, na sasa huduma ya kutafsiri (translate) imkeuja katika App hiyo ya Gmail ya simu. Zaidi…
Mauzo ya PS5 ya Sony yazidi kupaa; yachangia vizuri katika mapato ya Sony yanayovunja rekodi
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Mauzo ya PS5 ya Sony yazidi kupaa; yachangia vizuri katika mapato ya Sony yanayovunja rekodi
Katika mwaka wa mapato wa Sony ulioishia Machi 31, 2023 (ulianza April 2022), Sony wameonesha walipata mapato ya yen (pesa ya Korea Kusini) Trilioni 1.21, sawa na Dola bilioni 8.9 za kimarekani – ambayo ni zaidi ya Tsh Trilioni 20. Mapato haya ni asilimia…
OnePlus Ace 2 Pro: Simu unayoweza itumia ata ukiwa umelowa au kwenye mvua
https://teknolojia.co.tz/oneplus-ace-2-pro-simu-unayoweza-itumia-ata-ukiwa-umelowa-au-kwenye-mvua/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=oneplus-ace-2-pro-simu-unayoweza-itumia-ata-ukiwa-umelowa-au-kwenye-mvua

TeknoKona Teknolojia Tanzania
OnePlus Ace 2 Pro: Simu unayoweza itumia ata ukiwa umelowa au kwenye mvua
OnePlus ni kampuni inayosifika kwa kuja na simu zenye sifa za kipekee sana, wanalenga kushindana na simu bora zaidi zilizo sokoni, na sasa wamekuja na kitu cha