Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.74K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
May 24, 2023 at 04:09PM
May 24, 2023 at 06:07PM
4KB
May 25, 2023 at 04:15PM
bongotech255 - Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri...
bongotech255 - Home | Facebook

Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri ina mambo mengi sana inarahisisha simu kuonekana simple sana.

Kupitia simu unaweza andika ujumbe haraka sana bila kugusa keyboard Ikiwa labda unaendesha gari au umeshika begi , unapika nk basi unaweza tuma ujumbe bila kushika simu mkononi. Lakini siri inaweza fanya Zaidi ya hayo unayoyajua, najua apple haiwezi kukuambia kila kitu ila kilichopo kwenye iphone ila kazi Yetu kuwajuza kwa yale msiyoyajua Leo nakuambia baadhi 👇 1) Quick find password for app & website Unajua kwenye simu zetu unaweza ku save passwords toka kwenye app ambazo ume sign au login kupitia icloud keychain kwenye iphon...

View original post
bongotech255 - Kuna baadhi ya ishara zikitokea Kwenye simu...
bongotech255 - Home | Facebook

Kuna baadhi ya ishara zikitokea Kwenye simu jua kifaa chako kimeathiliwa na virusi , kimekua hacked ivyo upelekea kufanya mambo ya ajabu ajabu ?

Najua watu wengi tunapenda kutumia mitandao ya kijamii lakini inabidi mjihadhari sana unaweza kuibiwa au kudukuliwa simu yako

𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗷𝗼𝘁𝗼

Ukianza kuona simu ya … See more

Shukrani
4KB
4KB
bongotech255 - Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu...
bongotech255 - Home | Facebook

Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu ambayo aikai na chaji.

ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta athari ya kuchaji kila mara.fanya mambo yafuatayo kuongeza maisha ya betri kwenye simu yako 👇 1) 𝗔𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗸𝗶𝗳𝗶𝗸𝗮 𝟵𝟬% sio lazima kuchaji simu yako mpaka 100% kila wakati.unaUuweza kuondoa chaji ikifika asilimia 90% tu kwani itaondoa uwezekano wa kuchaji simu kupita kiasi au kuzidisha joto itakusaidia kulinda maisha ya betri la simu yako. 2) 𝗨𝘀𝗶𝗮𝗰𝗵𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗸𝗮 𝟬% mara tu betri la simu y...

View original post
May 27, 2023 at 04:17PM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hii ndio maana ya Continental Breakfast Chair inayo trend TikTok