Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
bongotech255 - Window 11 Sasa inakua window pendwa toka...
bongotech255 - Home | Facebook

Window 11 Sasa inakua window pendwa toka Microsoft baada ya kuachiwa kwake maana imefanya maisha kuwa rahisi kutokana na jinsi ilivyo rahisisha mambo mengi na feature za kibabe !!

1️⃣ change voice to text Kupitia window 11 unaweza Kubadili sauti yako kuwa ujumbe in real time. Utakua na uwezo wa kuzungumza kwa sauti alafu window yako ikabadilisha iyo sauti yako kuwa text kupitia kompyuta. Pia labda uko kwenye Microsoft word unaweza sema tu new paragraph au delete previous sentence basi itakua na uwezo wa kuongeza page mpya au kuondoa ujumbe kwenye sentence uliyosema bila kugusa mouse. 2️⃣ virtual desktop Ni feature ambayo itakusaidi...

View original post
May 10, 2023 at 04:15PM