Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Meet Bard
Bard, an early experiment, lets you collaborate with generative AI. Use Bard to supercharge your imagination, boost your productivity, and bring your ideas to life. Feedback from a wide range of experts and users will help Bard improve. Sign up now at https://bard.google.com.

Bard is available in the US and UK for now, and will expand to more countries and languages over time.

Audio described version here: https://www.youtube.com/watch?v=ehvUnzIvoNQ

Subscribe to our Channel: https://www.youtube.com/google
Tweet with us on Twitter: https://twitter.com/google
Follow us on Instagram: https://www.instagram.com/google
Join us on Facebook: https://www.facebook.com/Google
May 10, 2023 at 12:35AM
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Miwani Hii Kutoka Google Inateknolojia Kama Miwani Ya Tony Stark/Iron Man
Google Glass wametangaza kutoendelea na uzalishaji wa miwani hizo, Fahamu uwezo wa miwani hii na kwanini Google wamesema hawaendelei kuzitengeneza tena.
May 10, 2023 at 06:06AM
bongotech255 - Window 11 Sasa inakua window pendwa toka...
bongotech255 - Home | Facebook

Window 11 Sasa inakua window pendwa toka Microsoft baada ya kuachiwa kwake maana imefanya maisha kuwa rahisi kutokana na jinsi ilivyo rahisisha mambo mengi na feature za kibabe !!

1️⃣ change voice to text Kupitia window 11 unaweza Kubadili sauti yako kuwa ujumbe in real time. Utakua na uwezo wa kuzungumza kwa sauti alafu window yako ikabadilisha iyo sauti yako kuwa text kupitia kompyuta. Pia labda uko kwenye Microsoft word unaweza sema tu new paragraph au delete previous sentence basi itakua na uwezo wa kuongeza page mpya au kuondoa ujumbe kwenye sentence uliyosema bila kugusa mouse. 2️⃣ virtual desktop Ni feature ambayo itakusaidi...

View original post
May 10, 2023 at 04:15PM