Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
bongotech255 - 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

Je umepoteza simu...

bongotech255 - Home | Facebook

𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

Je umepoteza simu yako ya Samsung ? Utafanyaje jinsi ya kuipata simu yako ?kwa kuwa simu yako umenunua gharama!! Nitakujuza. Kupoteza au kuibiwa simu kunauma nyie acheni tena mpya daah !! ebu retweet kisha like tuendelee kujifunza 👇 Tunatumia simu kwa ajili ya mawasiliano na watu mbalimbali , kupoteza simu ni moja wapo ya jambo ya changamoto ngumu kwenye maisha Yetu haswa kama simu yako ndo mpya alafu umenunua kwa Gharama kubwa. Ila watumiaji wengi wa Samsung wana bahati sana , maana kwenye simu nyingi za Samsung Kuna feature kuweza kutafuta simu iliyopotea au kuibiwa. Kuna...

View original post
May 08, 2023 at 12:06AM
May 08, 2023 at 06:05AM
May 08, 2023 at 10:30AM
May 08, 2023 at 11:16AM
May 08, 2023 at 01:40PM
bongotech255 - 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

Je umepoteza simu...

bongotech255 - Home | Facebook

𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

Je umepoteza simu yako ya Samsung ? Utafanyaje jinsi ya kuipata simu yako ?kwa kuwa simu yako umenunua gharama!! Nitakujuza. Kupoteza au kuibiwa simu kunauma nyie acheni tena mpya daah !! ebu retweet kisha like tuendelee kujifunza 👇 Tunatumia simu kwa ajili ya mawasiliano na watu mbalimbali , kupoteza simu ni moja wapo ya jambo ya changamoto ngumu kwenye maisha Yetu haswa kama simu yako ndo mpya alafu umenunua kwa Gharama kubwa. Ila watumiaji wengi wa Samsung wana bahati sana , maana kwenye simu nyingi za Samsung Kuna feature kuweza kutafuta simu iliyopotea au kuibiwa. Ku...

View original post
bongotech255 - Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania...
bongotech255 - Home | Facebook

Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini. Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Amini nakuambia 👊