Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
April 30, 2023 at 04:26PM
bongotech255 - Wallpaper nzuri kwa ajili ya simu yako part...
bongotech255 - Home | Facebook

Wallpaper nzuri kwa ajili ya simu yako part 2

Unaweza kuweka kwenye background pamoja na lock screen

unapenda wallpaper za aina Gani kwenye simu yako?

Mi hupenda za mfumo wa katuni
bongotech255 - Akuna jambo linalokera kama unaangalia kitu...
bongotech255 - Home | Facebook

Akuna jambo linalokera kama unaangalia kitu YouTube alafu ghafla umehamishwa kwenye video nyingine bila kupenda au umepiga pause Video bila kujua ?? Unajikuta ukigusa Tena Ile Video basi inaanza upya 😭!!

Sio rahisi wakati unatizama kitu kwenye simu ujagusa gusa, ivyo unajua inawezekana kutizama video kwenye YouTube alafu ukazuia simu kujibadilisha toka video moja kwenda Nyingine. Leo nitakuambia jinsi ya ku lock YouTube yako. Ila kukumbuka unapo lock YouTube ina maana kwamba uwezi kutumia Tena simu yako kwa kugusa mahali pengine Zaidi ya kutizama Ile video pia utaweza kubadilisha video nyingine itakua ina play moja tu inajirudi...

View original post