Infinix HOT 30, Yenye Prosesa Ya MediaTek Helio G88 - MKali Wa Magemu Kuzinduliwa Aprili 25!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Infinix HOT 30, Yenye Prosesa Ya MediaTek Helio G88 - MKali Wa Magemu Kuzinduliwa Aprili 25!
Infinix kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz inaashiria ujio wa simu hiyo – Infinix Hot 30 — Aprili 25 ya mwaka huu.