Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.76K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
bongotech255 - Je umechoka na matangazo yanayotokea kwenye...
bongotech255 - Home | Facebook

Je umechoka na matangazo yanayotokea kwenye simu yako. Kuna baadhi ya tovuti ukitembelea au kuna app ukiwa unatumia huwa kuna matangazo mengi yanatokea ambayo yanakera sana.

Pia baadhi ya matangazo huleta virusi kwenye kifaa chako na kusababisha simu kuwa nzito balaa , unakutana pop up ads Kila ukifungua sehemu tangazo 😃 mpaka inaboa Utashangaa matangazo kwenye lock screen, kwenye app ukifungua, wallpaper nk. Leo nakujuza jinsi ya kuondoa matangazo kwenye google chrome 👇 Ndani ya Google chrome kuna feature ambayo itakusaidia kuweza kuzuia matangazo sumbufu kwenye simu yako. Fungua google chrome >> gusa vidoti vitatu >...

View original post