bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook
watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.
Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la...
View original post

bongotech255 - Tumevunja Bei 🏌️♂️
External storage is so...
bongotech255 - Home | Facebook
Tumevunja Bei 🏌️♂️
External storage is so much important , njoo uchukue Yako Sasa 🤝 Warranty miezi sita mpaka mwaka ikifa rudisha Follow @hyatzcomputers Follow @wikeltechnologies_tz Follow @zirene_laptop_accessories_tz Wako ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2-43 Ukifika chini tafadhali tupigie. #0692630904. #0765171270 #external #storage #pcstore #laptoprepair #pcrepair #externalstorage #hdd

Ifahamu Samsung Galaxy Tab S9 Ultra, Tabiti Inayosubiriwa Kwa Hamu!
https://teknolojia.co.tz/ifahamu-samsung-galaxy-tab-s9-ultra-tabiti-inayosubiriwa-kwa-hamu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=ifahamu-samsung-galaxy-tab-s9-ultra-tabiti-inayosubiriwa-kwa-hamu&utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=ifahamu-samsung-galaxy-tab-s9-ultra-tabiti-inayosubiriwa-kwa-hamu

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Ifahamu Samsung Galaxy Tab S9 Ultra, Tabiti Inayosubiriwa Kwa Hamu!
Ni wazi kwa sasa soko la tabiti sio kubwa kama ilivyokua hapo awali, Tableti kuna muda zililiteka sana soko maana zilikua zipo nyingi sana. Ni makampuni meng