Teknolojia
130 subscribers
3.83K photos
4.79K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Home | Facebook

Wireless keyboard Kali kabisa

Karibu ujipatie Toka @hyatzcomputers @wikeltechnologies_tz

Warranty miezi SITA ikifa rudisha

W… See more

hard disc ya gb 500 unauzaje

Mc Toshy kama external ni 75K boss
bongotech255 - Home | Facebook

Umekua na changamoto kwenye simu yako Kila ukiweka bando la mb 500 , 1Gb linakwisha faster ?

Najua ni tatizo kubwa Sana kwa watu wengi duniani unajikuta unanunua kifurushi chako lakini ukiwasha data tu balaa.

Kuna app inaitwa glasswire ni bonge Moja la app ya kuwa nayo kwenye simu yako kwani itakusaidia kuzuia matumizi ya bando lako kuisha haraka sana. … See more

Link ya telegram Yetu jiunge nasi

https://t.me/bongoTechs255… See more