Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tube Reader | How To Setup Telegram Pay To View | Donation Bot
InstantView from Source
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Maswali matano Kila anaejifunza Graphics design huuliza
Katika Video hii nilikutana na mdau anaenifuatilia sana kwa mda mrefu na akaomba tuzungumze na aliniuliza maswali ambayo ni yale yale huulizwa mara kwa mara na wadau wengi wanaonifuatilia.
Haya ndiyo Maswali matano Kila anaejifunza Graphics Design huuliza
Video imefanyika kwa kushirikiana na @JOEMEDIAGROUP

Premium Courses https://richstartz.gumroad.com/

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartzโ€‹
Twitter: https://twitter.com/richstartzโ€‹
Facebook: https://facebook.com/richstatzโ€‹
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
InFoTel - Telegram
How To Setup Telegram Pay To View | Donation Bot

With this feature, authors can publish videos or photos gated behind the paywall that followers can unlock after making a payment.

* The content of the post looks blurred for the subscribers, until they make a payment
* Price limits for one post: MIN โ€” 1 EUR, MAX โ€” 1,000 EUR
* The number of posts is unlimited

Telegram Donation bot Account Verification Step : https://www.youtube.com/watch?v=AJQkmeqTgW0
Demo Link: https://t.me/Tginfotel/48

Social Media Handles
=================================
Telegram Group: https://Telegram.me/InFoTel_Group
Telegram Channel: https://Telegram.me/Tginfotel
Facebook: https://www.facebook.com/Infotelbot
Website: www.infotelbot.com
=======================
Join to this channel to access amazing perks:
https://www.youtube.com/channel/UCLY4kbZ2IQXbph4S54Z-JnA/join
=======================
Subscribe! It's free!!
=======================
#InFoTel #Telegram
Kupata FILE ID Tuma file yeyote:
ID Ya file lako ni:
bongotech255 - Imepita wiki kadhaa @apple wameachia Tv...
bongotech255 - Home | Facebook

Imepita wiki kadhaa @apple wameachia Tv yenye uwezo wa 4k ambayo hina mambo mengi ndani yake.

๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ง๐˜ƒ ๐Ÿฐ๐—ธ ni kisanduku kidogo chenye uwezo wa kutumika kama dishi kwenye Tv yako kwa kuunganisha na kuweza kupata vitu mbalimbali kutoka Apple. Kama vile kutizama ๐— ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ,Tv show , Movies , kucheza game pamoja na kutumia app mbalimbali za app store kwenye Tv yako. Cha kushangaza zaidi watu wengi wanajua gharama yake ni kubwa sana ila ni ndogo mno inaanzia dollar ๐Ÿ’ฐ129 mpaka kufikia 200 dollar. Ukinunua utaweza kupata siku saba za bure bada ya hapo utaweza kuanza kulipia kwa kila mwenzi inaanzia dollar 21 mpaka 26 kwa kila m...

View original post
bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook

Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.

Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ญ๐—˜๐—ฅ๐—ข ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na t...

View original post
Update je browser
InstantView from Source