Microsoft Kuandaa Stoo Yake Ya Magemu Ya Simu Kwa Ajili Ya iOS Na Android! #XBox
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Microsoft Kuandaa Stoo Yake Ya Magemu Ya Simu Kwa Ajili Ya iOS Na Android! #XBox
Magemu hayo yatakua ni yale ambayo yana chapa ya Xbox (au yanapatikana kwa kiasi kikubwa katika Xbox) kutoka katika kampuni ya Microsoft. Fikiria magemu yale ukiwa unayapata katika simu janja yako ikiwa ni Android au iOS.