Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
MAUJANJA: Tumia Video Za TikTok Kama Wallpaper Katika iPhone!

Tumeshaandika mengi sana kuhusu mtandoa wa TikTok, unaweza ukayasoma  >>HAPA<<. Tukiachana na hayo leo tunakuletea maujanja. Ni wazi kabisa katika mtandao huo kuna video nyingi tuu na za aina yake ambavyo pengine ungependa ziwe kama sehemu ya ‘Wallpaper’ katika iPhone yako. Cha kufanya hapa ni kwamba inabaidi ubadilishe video hiyo iwe katika mfumo wa ‘Live...

The post MAUJANJA: Tumia Video Za TikTok Kama Wallpaper Katika iPhone! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/tumia-tiktok-kama-wallpaper-katika-iphone/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=tumia-tiktok-kama-wallpaper-katika-iphone
Jinsi Ya Kufuta Taarifa Katika Laptop Ya Windows Iliyopotea!

Tunaweza kupoteza vifaa vyetu vya kielektroniki, pia vinaweza kuibiwa, je tunavipata vipi? kama uwezekano wa kuvipata unashindikana je tunaweza futa taarifa zetu nyeti? Kwa dunia ya sasa ni mara chache sana watu wanaumia kuhusu kifaa ukilinganisha na taarifa za ndani ya kifaa pindi tuu kifaa kinapoibiwa au kupotea. Tumeshaandika sana kuhusu jinsi ya kuipata simu...

The post Jinsi Ya Kufuta Taarifa Katika Laptop Ya Windows Iliyopotea! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kufuta-taarifa-katika-laptop-ya-windows-iliyopotea/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kufuta-taarifa-katika-laptop-ya-windows-iliyopotea
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Epuka kulaza Simu Chaji Na Simu ikifika 100% usiendelee kuichaji ili kulinda simu yako kwani unaweza haribu betri na simu ikapata madhara #simukitaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

IFAHAMU SIMU YA MKONONI YA KWANZA KUTUMIKA, MOTOROLA DynaTAC 8000X
Motorola DynaTac 8000X ndio simu ya kwanza ya mkononi kuingizwa sokoni na kutumiwa na watu. Je unafahamu ilikuwa inauzwa bei gani? Tazama video hii.

Fahamu mengi kuhusu simu na teknolojia zingine kwa kutembelea Blogu yetu ya Teknolojia.
Habari za Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/
Habari za Simu - https://teknolojia.co.tz/teknolojia/simu/
Njia Za ‘Ujanja Ujanja’ Katika Kivinjari Cha Chrome Katika Keyboard!

Google Chrome ni moja kati ya kivinjari maarufu na bora duniani, kivinjari hiki kipo katika orodha ya vivinjari vinavyotumiwa sana kwa sasa. Katika dunia ya sasa ni vyema kabisa kuwa na njia za mkato vingi ambavyo vitakusaidia kurahisisha kazi wakati uko mtandaoni. Hizi Ni Njia Za Mkato Na Za ­Kiujanja Ujanja Wakati Unatumia Chrome. Njia...

The post Njia Za ‘Ujanja Ujanja’ Katika Kivinjari Cha Chrome Katika Keyboard! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/njia-za-ujanja-ujanja-katika-kivinjari-cha-chrome-katika-keyboard/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=njia-za-ujanja-ujanja-katika-kivinjari-cha-chrome-katika-keyboard
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

FAHAMU MAJUKWAA YA HUDUMA ZA #GOOGLE
Google ni moja kati ya makampuni makubwa zaidi duniani. Pata kufahamu kwa uchache baadhi ya huduma zake muhimu ambazo inawezekana ukawa ushawahi kuzisikia bila ya kuwa na uelewa wake zaidi.

Soma habari za Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/
Soma habari za kiteknolojia zinazohusu Google - https://teknolojia.co.tz/teknolojia/google/
Infinix NOTE 12 VIP na Galaxy S22 Ultra Kufanana Megapixels

Je unafahamu kampuni ya simu Infinix imezindua rasmi simu ya kwanza ya watt 120?, Mei 16/5/2022 Kampuni ya simu za mkononi Infinix ilizindua rasmi Matoleo matatu ya mfululizo wa series ya NOTE – Infinix NOTE 12 VIP, NOTE 12 PRO na NOTE 12. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka mitandaoni, Infinix imejibebea sura mpya baada […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/infinix-note-12-vip/
Chaji Kwa DK17 Tuu, Simu Za INFINIX Kuanza Kuja Na WATT 120! #InfinixNote12VIP

Fununu ambazo si rasmi ila tayari zinasambaa na kwa baadhi ya nchi zisha achiwa huru juu ya kampuni ya simu INFINIX MOBILE kuja na simu Mpya aina ya INFINIX NOTE 12 VIP. kampuni hii inaleta toleo hili la simu ikiwa ni muendelezo wa  Infinix Note 12, simu hii inakuja na maajabu mengi ambayo hayajawahi kufanyika...

The post Chaji Kwa DK17 Tuu, Simu Za INFINIX Kuanza Kuja Na WATT 120! #InfinixNote12VIP appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/infinix-note-12-vip/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=infinix-note-12-vip
App Zilizoshinda ‘Katika Microsoft Store Awards’ 2022!

Tulisha andika hapa kuhusiana na mchakato mzima wa jinsi ya kupiga kura tuzo hizi za Microsoft. Kusoma tena Makala ya nyuma kuhusiana na tuzo hizi ingia >>HAPA<< Leo sasa tunakuletea washindi (App zilizoshinda) wa tuzo hizi Vipengele kama tulivyosema vilikua ni vitatu, yaaani File management, Utility na Open Platform Washindi Ni Kama Ifuatavyo 1.Kipengele Cha...

The post App Zilizoshinda ‘Katika Microsoft Store Awards’ 2022! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/app-zilizoshinda-katika-microsoft-store-awards-2022/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=app-zilizoshinda-katika-microsoft-store-awards-2022
Apple Kuja Na Huduma Yao Ya Utafutaji (Search Engine)!

Apple ni  moja kati ya kampuni kubwa inayojihusisha na mambo ya teknolojia, mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikileta maboresho au ubunifu wa aina yake ili kujihakikishia inabaki kuwa juu. Kwa sasa inasemekana kuwa mtandao huo unakuja na huduma ya utafutaji (Search Engine), kumbuka kwa sasa huduma ya utafutaji maarufu ni kutoka katika mtandao wa...

The post Apple Kuja Na Huduma Yao Ya Utafutaji (Search Engine)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apple-kuja-na-huduma-yao-ya-utafutaji-search-engine/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-kuja-na-huduma-yao-ya-utafutaji-search-engine
Uko Tayari Kwa Kamera Kwenye Saa Janja Kutoka Apple (Apple Watch)?

Apple wanazidi kuhakikisha kuwa wanatoa vifaa vilivyo bora na vinavyorahisisha maisha ya wateja wao wa kiasi kikubwa sana. Lakini je, tuko tayari katika kupata huduma ya kamera kwenye saa? kwa sasa kuna saa nyingi tuu ambazo zina huduma hii. Fikiria kutumia saa tuu yenyewe katika swala zima la kupiga picha moja kwa moja? kuna saa...

The post Uko Tayari Kwa Kamera Kwenye Saa Janja Kutoka Apple (Apple Watch)? appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/uko-tayari-kwa-kamera-kwenye-saa-janja-kutoka-apple-apple-watch/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uko-tayari-kwa-kamera-kwenye-saa-janja-kutoka-apple-apple-watch