Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
WhatsApp kujaribu uwezo wa kuonyesha status kwenye orodha ya Chats kwa Mtumiaji

Kama tunavyojua kila baada ya muda wataalamu wa mtandao wa kijamii wa Whatsapp huleta masasisho (Updates) mbalimbali mapya kwaajili ya kuboresha huduma zao. Hivi karibuni wataalamu hao wamebainika wakijaribu kupima uwezo wa kuonyesha status kwenye orodha ya chats kwa mtumiaji. Ripoti mbalimbali kutoka WABetaInfo zinaelezea kuwa wataalamu wa WhatsApp wanafanya majaribio ya kuonyesha status moja...

The post WhatsApp kujaribu uwezo wa kuonyesha status kwenye orodha ya Chats kwa Mtumiaji appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/whatsapp-kujaribu-uwezo-wa-kuonyesha-status-kwenye-orodha-ya-chats-kwa-mtumiaji/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=whatsapp-kujaribu-uwezo-wa-kuonyesha-status-kwenye-orodha-ya-chats-kwa-mtumiaji
Elon Musk Ataka ‘Mashirika Na Biashara Za Serikali’ Kulipia Twitter!.

Nadhani habari za Elon Musk kuhusu kuinunua Twitter ushazipitia zote hapa na ile nyingine hapa, tumeshajua kashainunua sasa kama kawaida kuna maboresho/mabadiliko inabidi yatokee. Ni wazi kuwa Bwana Elon anataka Twitter ni ya malipo ya awamu (subscription) kwa taasisi kubwa na haswa zile za kiserikali. Aliweka hii wazi kwa kuandika katika ukurasa wake kuwa Twitter...

The post Elon Musk Ataka ‘Mashirika Na Biashara Za Serikali’ Kulipia Twitter!. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/elon-musk-ataka-mashirika-na-biashara-za-serikali-kulipia-twitter/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=elon-musk-ataka-mashirika-na-biashara-za-serikali-kulipia-twitter
Matt Poirier Ateuliwa Kuwa Makamu Raisi Wa Maendeleo Ya Biashara Wa Intel!

Intel imemteua Bwana. Matt Poirier kuwa makamu wa raisi katika kitengo cha maendeleo ya biashara….. …kazi hii itaanza rasmi tarehe 30 mwezi huu wa tano. Kwa haraka haraka ni kwamba Kampuni ya Intel imeamua kufanya maamuzi hayo ili kuongeza nguvu (majeshi) katika timu yake. Kumbuka kampuni ya Intel ni kampuni nguli kabisa katika maswala ya...

The post Matt Poirier Ateuliwa Kuwa Makamu Raisi Wa Maendeleo Ya Biashara Wa Intel! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/makamu-raisi-mpya-maendeleo-ya-biashara-wa-intel/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=makamu-raisi-mpya-maendeleo-ya-biashara-wa-intel
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Vifaa Muhimu vya Videography kwa Wanaoanza 2022
Video hii inaelezea vifaa Muhimu kwa Beginners wanaotaka kuanza Videography. Kwa uzoefu wangu watu wengi tunapoanza huwa hatujiui tunaanza vipi katika upande wa kujifunza na vifaa vyake. Vifaa hivyo ni

1:33 Camera
7:44 Lens
11:04 Camera Supports
14:50 Sound
19:07 Lights
22:19 Software

Premium Courses https://richstartz.gumroad.com/

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Youtube Go Inaagwa Mwezi Agosti 2022!

Youtube Go inaagwa rasmi, maana mpaka kufikia mwezi wa nane mwaka huu (2022) kampuni itakua ishaachana na huduma hiyo. Kumbuka hii sio huduma ya kwanza kutoka Google (ALPHABET) kuanzishwa na kuachwa katika kati, nadhani unakumbuka huduma ya Google Plus (Google +) na yenyewe ilianza na baadae ikaenda zake! Kumbuka pai Youtube Go ni App ambayo...

The post Youtube Go Inaagwa Mwezi Agosti 2022! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/youtube-go-inaagwa-mwezi-agosti/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=youtube-go-inaagwa-mwezi-agosti
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kufuta namba uliyo kosea kusave au ambayo huitaki kwenye iPhone 🤝 #simukitaa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kuset Simu yako ikiita Itaje jina la alie kupigia Simu 🤝
Google Yainunua Kampuni Ya Kutengeneza Vioo Vya LED, Raxium!

Google imeinunua kampuni ya Raxium kwa kiasi ambacho hakijawekwa wazi katika uma. Raxium ni kampuni ambayo imejikita na kutengeneza vioo haswa vile vya teknolojia ya LED, ikumbukwe kua kampuni hii bado sio kubwa sana maana ndio kwanza ina miaka mitano. Lengo la Google kununua kampuni hii ni kuweza kusaidia katika matengenezo wa vifaa vijavyo vya...

The post Google Yainunua Kampuni Ya Kutengeneza Vioo Vya LED, Raxium! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/google-yainunua-kampuni-ya-vioo-vya-led/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-yainunua-kampuni-ya-vioo-vya-led
Twitter Na Vipengele Vipya, Ukijumuisha Na ‘Mixed-Media Tweets’!

Mixed-Media Tweets ni mfumo wa kutuma tweet ikiwa na picha na video katika Tweet moja hiyo hiyo. Lakini ukiachana na hayo ni kwamba baadhi ya vipengele vya zamani pia vitafanyiwa maboresho kadha wa kadha. Inaelezeka kuwa kutakuwa na uwezo wa kuweka picha nne na video moja katika tweet moja kitu ambacho hapo awali hakikuwezekana. The...

The post Twitter Na Vipengele Vipya, Ukijumuisha Na ‘Mixed-Media Tweets’! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/twitter-vipengele-vipya-ukijumuisha-na-mixed-media-tweets/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=twitter-vipengele-vipya-ukijumuisha-na-mixed-media-tweets
Apple, Google, Na Microsoft Kuja Na Njia Ya Ku’Log In’ Bila Kutumia Nywila (Password)!

Fikiria kama utaweza kuwa na uwezo wa kuingia katika mitandao mikubwa  (yakijamii) na kutumia vifaa vya kielektroniki kwa ku’Log In’ bila hata ya kutumia neno siri. Makampuni makubwa na nguli katika swala zima la teknolojia (Apple, Google, Microsoft) wamedhamiria kuwezesha swala hili na wako katika hatua za mwanzo. Kumbuka kama hili litawezekana ni lazima kwanza...

The post Apple, Google, Na Microsoft Kuja Na Njia Ya Ku’Log In’ Bila Kutumia Nywila (Password)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apple-google-na-microsoft-kuja-na-kulog-in-bila-kutumia-password/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-google-na-microsoft-kuja-na-kulog-in-bila-kutumia-password
Drone Kwa Ajili Ya Selfie Kutoka Snapchat (Pixy)!

Kwa Snapchat sio kitu cha kushangaza sana kuja na teknolojia kama hizi si unakuambuka ile miwani  inayojulikana kama Spectacles? Sasa hivi inakuja na Drone ambayo itakua mahususi kwa ajili ya kupiga selfie za hapa na pale pia na video ambazo moja kwa moja zitaweza kusambazwa katika mtandao huo wa kijamii. Drone hii imepewa jina la...

The post Drone Kwa Ajili Ya Selfie Kutoka Snapchat (Pixy)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/drone-kutoka-snapchat/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=drone-kutoka-snapchat