Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter, Pongezi na Hofu zawagawa wadau

Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter, jambo ambalo limeendelea kuleta mazungumzo mengi mtandaoni ya kuunga mkono au kupingwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao huu maarufu. Wiki chache nyuma tuliandika kuhusu Bwana Elon Musk kuweka ofa ya kununua mtandao wa kijamii maarufu wa Twitter, unaofahamika sana kama sehemu inayowapa watu wa kawaida, mashuhuri, makampuni na serikali...

The post Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter, Pongezi na Hofu zawagawa wadau appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/elon-musk-afanikiwa-kuinunua-twitter-pongezi-na-hofu-zawagawa-wadau/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=elon-musk-afanikiwa-kuinunua-twitter-pongezi-na-hofu-zawagawa-wadau