Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Njia Bora ya Kupata Likes Nyingi Facebook (2022)

Japo kuwa kwa sasa kuna mitandao mingi ya kijamii, lakini bado hadi sasa mwaka 2022 mtandao wa Facebook ni moja ya mtandao ambao unatumiwa zaidi kuliko mitandao yote ya kijamii. Kuliona hili leo nimekuletea njia bora na rahisi ambayo itakusaidia sana kuweza kupata like nyingi kwenye post zako za mtandao wa Facebook. Kitu cha muhimu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kupata-likes-nyingi-facebook/
Ondoa Alama (Watermark) Kwenye Video Yoyote (Android)

Kama umekuwa ukitaka kuondoa alama zinazowekwa kwenye video mbalimbali ambazo unataka kutumia basi njia hii itaweza kukusaidia sana. Kupitia njia hii utaweza kuondoa alama au watermark kwa urahisi na haraka kwa kutumia simu yako, njia hii haitaji ujuzi wa aina yoyote hivyo unaweza kuondoa alama au watermark kwa urahisi bila kuwa na ujuzi wa aina […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/ondoa-alama-watermark-kwenye-video/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Ondoa Alama au Watermark Kwenye Video (Android)
Kama unataka kuondoa alama kwenye video yako ambayo ina alama basi hakikisha unafuata hatua hizi na utaweza kuondoa alama kwenye video. Huna haja ya kutumia Adobe Photoshop.

LINK MAALUM

1. Download App Hapa - https://url.tanzaniatech.one/CRH
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Tech
Ondoa Alama au Watermark Kwenye Video (Android)

Kama unataka kuondoa alama kwenye video yako ambayo ina alama basi hakikisha unafuata hatua hizi na utaweza kuondoa alama kwenye video. Huna haja ya kutumia Adobe Photoshop.

LINK MAALUM

1. Download App Hapa - https://url.tanzaniatech.one/CRH
Jaribu Leo App Hizi Kwenye Simu Yako ya Android

Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android basi ni wazi kuwa unajua kuwa apps ndio zinafanya simu yako kuwa smart, kuliona hili leo tumekuetea app nzuri ambazo zinaweza kusaidia kutumia simu yako kwa namna ya kipekee. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja tukangalie app hizi nzuri ambazo unaweza kujaribu kwenye simu yako […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/jaribu-leo-app-hizi-kwenye-simu-yako-ya-android/