Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Jinsi ya Ku-Convert Mafaili ya Aina Zote kwa Pamoja (Windows)

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia kompyuta kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa kuna wakati unahitaji kubadilisha format ya file moja kwenye file lingine bila kuinstall programu mpya. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia ku-convert mafaili ya aina zote kwa urahisi na haraka bila ku-install programu nyingi. Kupitia njia […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/convert-mafaili-ya-aina-zote/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

📍Umuhimu wa Anwani za Makazi📍
YouTube TV ya kwenye iOS 15 yafanyiwa maboresho

Kuna kitu kinaitwa YouTube TV ambapo wengi wetu tunaweza tusiwe tunakifahamu lakini kimekuwepo kwa miaka kadhaa sasa na kimekuwa kikifanyiwa maboresho ya hapa na pale ili kukifanya kivutie zaidi. Kwa zaidi ya miaka mitano sasa YouTube TV imekuwepo kwenye ushindani na ikipatikana kwenye runinga janja halikadhalika rununu (iOS/Android). Si ajabu wasomaji wetu wakisema hawafahamu YouTube...

The post YouTube TV ya kwenye iOS 15 yafanyiwa maboresho appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/youtube-tv-ya-kwenye-ios-15-yafanyiwa-maboresho/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=youtube-tv-ya-kwenye-ios-15-yafanyiwa-maboresho
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA FILAMU (BEHIND THE SCENES)
#behindthescene #bts #hollywood
Leo nakwenda kukuonyesha Behind the scenes za Hollywood movies na kushiriki nawe mchakato mzika.

0:00​ | Introduction
0:35​ | Movie ya The Meg
2:20​ | Movie ya Iron Man
3:57​ | Movie ya Avatar
6:23 | Movie ya The shadow

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Apps Nzuri za Kujaribu Kwenye Simu Yako Mwezi #April

Kama wewe ni mpenzi wa Apps nzuri basi ni wakati mwingine wa kujaribu apps hizo kwenye simu yako yako ya Android. Kupitia makala hizi za Apps nzuri utaweza kujua app mpya kabisa ambazo unaweza kujaribu kwenye simu yako na kuweza kufurahia. Kupitia sehemu ya kwanza ya apps nzuri siku ya leo nimekuletea list ya apps […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/android-apps-nzuri-april/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Simu yako imeharibika ? Na una hofu? Basi relax tutweza kukutengenezea na itakaa sawa na kama ni kioo truetone na Face id tutazirudisha ..