Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Apps Nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Darasani

Kama wewe ni mwanafunzi Apps zifuatazo zinaweza kutatua matatizo mbalimbali kwa haraka na kwa ubora zaidi kulingana na sababu ambazo nitakuwa nazitaja kwenye kila app, mbali ya hayo app hizi zinaweza kutumiwa na mtu yoyote ambaye anaona app hizi zina manufaa kwake. Pia kwa kuwa app hizi ni kwa ajili ya wanafunzi nyingi hazina matangazo […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/apps-za-ofisini-na-darasani/
Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanasoma makala hii ni wazi kuwa umeshawahi kukutana na tatizo la kupoteza SMS ya muhimu ambayo pengine unataka kujua jinsi ya kuirudisha. Kama unalo tatizo hilo basi endelea kusoma makala hii hadi mwisho nitakufundisha njia rahisi ya kuweza kurudisha meseji iliyopotea au kufutika. Lakini kabla ya yote ni […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/jinsi-ya-kubackup-sms/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU JANET JACKSON
Janet Jackson, Queen of Pop..kupitia episode hii tunakwenda kutazama kwa ukaribu maisha ya kimziki ya dada wa marehemu mfalme wa pop Michael Jackson.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
window 10 hidden features || Fanya maujanja Aya kwenye window 10 #window10 β€” Bongotech255
https://youtu.be/ywHAuAS7EG4 0:46
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kufunga application moja moja kama whatsap,instagram na mesage za kawaida ilikuwakomesha wambea wanao Penda kufuatilia vitu vyako kwenye simu yako.. #kitaani #sanuka #simukitaa #foryou #viral #fypγ‚· #fix #faham #tz #dsm #cheka #bongo #iphone #kitaanikwetu #bongofuntiktoker #trending #fix
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Simu yako imeharibika sana? relax we can fix it tupigie kupitia #0712858344 tunapatikana #sinzamori #sanuka #fixkitaani #tunatengeneza #simukitaa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi hiki mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Alhamisi tarehe 31 Machi, 2022, kuanzia...
Andika neno CONFIG kwenda 15503 Andika kwa herufi kubwa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kutumia window 7,8,10 na 11 kwenye simu || how to install windows 10 , 11,8,7 on smartphone
Fahamu njia rahisi ya kutumia window yoyote Ile kwenye simu yako kuanzia 7 , 8, 10 na 11 bila shida yoyote

Tizama sasa don't forget to subscribe likes na comment for more videos

Telegram join πŸ‘‡
https://t.me/bongoTechs255

Teknolojia ni Yetu sote