Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Unaweza kutuma maoni kupitia Baruapepe: dawatilahuduma@tcra.go.tz au kwa kuandika Barua kwa Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, S.L.P 474, Dar es Salaam.

Maoni yako ni muhimu katika kuboresha Huduma za Mawasiliano Nchini.

Hizi huduma baadh ya maeneo hatuzipat hasa huduma ya internet naongea kutokea kashenyi-murongo Kyerwa district.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Unaweza kutuma maoni kupitia Baruapepe: dawatilahuduma@tcra.go.tz au kwa kuandika Barua kwa Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, S.L.P 474, Dar es Salaam.

Maoni yako ni muhimu katika kuboresha Huduma za Mawasiliano Nchini.

Hizi huduma baadh ya maeneo hatuzipat hasa huduma ya internet naongea kutokea kashenyi-murongo Kyerwa district.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

USIYOYAJUA KUHUSU JUA
Mambo usiyoyajua kuhusu Jua..Thing's You didnt know about the sun.

0:00​ | Introduction
0:35​ | Jua ni la njano?
1:18​ | Jua ni nyota?
2:00​ | Kuna nyota kubwa kuliko JUA?
2:31 | Inachukua muda gani kwa mwanga wa jua kufika duniani?
3:09 | Sayari yenye joto kali ni ipi?
4:15​ | kifaa cha mwanadamu kilichofika juani

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Jinsi ya Kuongeza Speed ya Internet Kwenye Simu Yako

Katika ulimwengu huu wa sasa ni wazi kuwa speed ya internet ni muhimu sana, haijalishi wewe una muda wa kusubiri, au wewe ni kama mimi na ungependa vitu vyote unavyo fungua kwa kutumia smartphone yako vifunguke kwa haraka. Kama hivi karibuni umekuwa ukifungua app ya Instagram na unaona app hiyo haifunguki au picha zinatumia muda […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/ongeza-speed-ya-internet-kwenye-simu-yako/
Gazeti Tanzania : Soma Habari Mpya Bila Internet (Android)

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao unataka kupata habari kwa wakati na kwa haraka basi app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali za hapa Tanzania kutoka kwenye vyanzo bora hapa Tanzania. Pamoja na kuwa unawaza kuwa hitaji app nyingine ya habari kwenye simu yako lakini hebu nipe dakika moja nikueleze vizuri kuhusu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/gazeti-tanzania/
Skip Matangazo ya YouTube Bila Kubofya Sehemu Yoyote

Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Youtube basi ni wazi kuwa kuna wakati unataka kuangalia video kupitia simu yako bila kubofya “Skip” ili kurusha tangazo. Mara nyingi hii inatokea kama umeshika simu yako kwa mkono mmoja. Sasa kuliona hili leo nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia ili kuweza “ku-skip” tangazo bila kubofya kwenye simu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/skip-matangazo-ya-youtube/
Sponsored : Infinix Yashinda Tuzo za Telecom Asia 2022

Dar-es-Salaam– Machi 16 – hapo jana kampuni ya simu za Mkononi Infinix leo ilitangaza kwa fahari ushindi wake wa tuzo mbili zilizotolewa na Asian Telecom Awards 2022. Infinix ilipata nafasi ya kwanza katika Ubunifu wa Mwaka na Masoko na Mpango wa Biashara wa Mwaka. lililofanyika Singapore na kuongwaza na jarida maarufu la biashara lenye kufamika […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/sponsored-infinix-yashinda-tuzo-za-telecom-asia-2022/