Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Linkedin waanzisha mtandao wao wa vipindi vilivyo katika mfumo wa sauti

Vipindi ambavyo vipo katika mfumo wa sauti na kurushwa mubashara mtandaoni vimekuwa ni maarufu ambapo hata Linkedin imeingia ulingoni. Linkedin ni mtandao wa kijamii ambao una heshima yake ya tofauti na hiyo mingine ambayo sote tunaifahamu. Makampuni mengi duniani yanatangaza ajira kupitia Linkedin na watu kuajiriwa kupitia mtandao huo wa kijamii. Sasa Linkedin imeamua kuanzisha...

The post Linkedin waanzisha mtandao wao wa vipindi vilivyo katika mfumo wa sauti appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/linkedin-waanzisha-mtandao-wao-wa-vipindi-vilivyo-katika-mfumo-wa-sauti/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=linkedin-waanzisha-mtandao-wao-wa-vipindi-vilivyo-katika-mfumo-wa-sauti
Toleo lijalo la gemu la Call of Duty baada ya mwaka huu huenda likachelewa

Wapenzi wa kucheza magemu iwe kwa njia ya mtandao au hata kwa kifaa kingine cha kidijitali naamini tunafahamu gemu la Call of Duty ambalo limekuwepo kwa miaka mingi sasa na limekuwa likiboreshwa kila toleo jipya ambalo linatoka. Tangu mwaka 2003 hadi leo hii bado gemu la Call of Duty lipo kwenye ushindani na likiwa na...

The post Toleo lijalo la gemu la Call of Duty baada ya mwaka huu huenda likachelewa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/toleo-lijalo-la-gemu-la-call-of-duty-baada-ya-mwaka-huu-huenda-likachelewa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=toleo-lijalo-la-gemu-la-call-of-duty-baada-ya-mwaka-huu-huenda-likachelewa
Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako

Siku hizi kuna makampuni mengie sana yanafanya promosheni kupitia kutuma meseji kwa watumiaji wa simu mbalimbali, kuna wakati meseji hizi zinakuwa kero sana kwa sababu ya kupokea meseji nyingi kwa siku na mbaya zaidi hakuna njia yoyote ya kuweza kujitoa kwenye huduma hizi. Kupitia maujanja siku ya leo nitakuonyesha njia bora ya kuzuia meseji hizi […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/kuzuia-sms-promosheni/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/UvbjJK5L1p4 kufuatilia mubashara mahojiano baina ya Mtangazaji Millard Ayo na Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka TCRA, Dkt. Emmanuel Manasseh wakizungumza kuhusu Matumizi Sahihi ya Data.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/UvbjJK5L1p4 kufuatilia mubashara mahojiano baina ya Mtangazaji Millard Ayo na Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka TCRA, Dkt. Emmanuel Manasseh wakizungumza kuhusu Matumizi Sahihi ya Data.
Pata Ujumbe Mfupi Mtu Anapokuwa Online WhatsApp

Ni wazi kuwa Internet imekuwa ni sehemu ya muhimu sana kwenye maisha yetu, lakini pia ni wazi kuwa mitandao imekuwa ni sehemu kubwa ya kuharibu watoto wetu hasa wanapokuwa wakitumia mitandao hiyo kwa njia ambayo sio sahihi. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kupata taarifa pale mtu anapokuwa online na ni muda […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/fahamu-anapokuwa-online-whatsapp/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa elimu kuhusu Matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa washiriki kutoka Chama Cha Walimu wenye Uziwi Tanzania (CWUT). Semina Hiyo imefanyika tarehe 24/02/2022 katika ukumbi wa Joy in the Harvest, Kigoma.