Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Facebook Reels yatanua wigo kupambana na TikTok

Mtindo wa watu kutengeneza video fupi fupi kwenye mitandao ya kijamii ni maarufu sana siku hizi kiasi kwamba kuna wengine wameshakuwa na uraibu wa kuperuzi kwenye Facebook Reels, TikTok, n.k. TikTok amabyo inamilikiwa na kampuni-ByteDance imetokea kuwavutia watu wengi ulimwenguni kote na kiasi kwamba wamejitokeza kudhamini mashindani mbalimbali Afrika na duniani kwa ujumla. Ukubwa wa...

The post Facebook Reels yatanua wigo kupambana na TikTok appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/facebook-reels-yatanua-wigo-kupambana-na-tiktok/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=facebook-reels-yatanua-wigo-kupambana-na-tiktok
TeknoKona (Facebook)

Vitu vimerudi kama zamani #WhatsApp #iOS
TeknoKona (Facebook)

Ni wazi sasa BlackBerry ya 5G haitatoka!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KUNA NDEGE ILIYOPOTEA NA KURUDI MIAKA 37 BAADAE?
Kwa mujibu wa video hii ya kipindi cha The Story book iliyosimuliwa na Mtiga Abdallah na kuandikwa na Jamal april, kuna ndege katika mazingira yasiyo ya kawaida ilitoweka angani na kuja kutua miaka 37 baadae. Hii ni kweli au uongo?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Apple yaondoa ulazima wa wateja kuvaa barakoa kwenye maduka yake

Kwa karibu miaka mitatu sasa duniani bado inapambana na janga la Virusi vya Corona ambalo bado linaendea kuitafuta dunia ingawa sasa tumeshaliona kuwa ni virusi kama virusi vingine tuu. Ulazima wa kuvaa barakoa kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo ofisini imekuwa ni sehemu ya vazi la mtu kwa muda wote ambao yupo kazini lakini hata kwenye vyombo...

The post Apple yaondoa ulazima wa wateja kuvaa barakoa kwenye maduka yake appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apple-yaondoa-ulazima-wa-wateja-kuvaa-barakoa-kwenye-maduka-yake/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-yaondoa-ulazima-wa-wateja-kuvaa-barakoa-kwenye-maduka-yake
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari akizungumza kwenye Mkutano wa Majadiliano baina ya TCRA na Wahariri wa vyombo vya Habari nchi, Tarehe 22/2/2022.
TeknoKona (Facebook)

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mashirika mbalimbali inajihusisha na maswala ya TEHAMA nchini. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://teknolojia.co.tz/mashirika-ya-serikali-yanayohusika-na-tehama/
TeknoKona (Facebook)

Mambo yanaendelea kuzoeleka tuu polepole.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 24 Februari, 2022πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
Jinsi ya Kucheza Game za PlayStation Kwenye Smartphone

Karibu kwenye maujanja na leo maujanja haya ni kwaajili ya wapenzi wa game, kupitia maujanja haya utaweza kujifunza njia rahisi ambayo itakusaidia kuweza kucheza Game mbalimbali za Playstation kwenye smartphone yako ya Android. Kumbuka njia hii haitaji kuwa mtaalam wa kompyuta wala haitaji kuwa mtaalamu wa simu za Android unachohitaji ni kuhakiksha unakuwa na simu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/playstation-kwenye-smartphone/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya Kucheza Game za Playstation Kwenye Android #Maujanja 81
Karibu Kwenye #Maujanja Leo nimekuletea njia mpya na Rahisi ya Kuweza kucheza Game za Playstation kwenye simu yako ya Android Njia hii ni rahisi sana na haitaji ujuzi wowote bali unahitaji tu kuwa na simu ya Android na Internet kwenye simu hiyo.

NOTE : HAKIKISHA UNAWEKA TIKI KWENYE SEHEMU HIZI
- Immersive mode.
- Mipmapping.
- Hardware transform.
- Software skinning.
- Vertex cache.
- Lazy texture caching.
- Disable slower effects.
- Timer hack.

LINK MAALUM
1. Download Hapa App ya PPSSPP - https://url.tanzaniatech.one/Hok
2. Download Hapa Games za PSP - https://url.tanzaniatech.one/lSv

KWA HABARI ZAIDI ZA TEKNOLOJIA HAKIKISHA UNATEMBELEA TANZANIATECH.ONE KILA SIKU.
Linkedin waanzisha mtandao wao wa vipindi vilivyo katika mfumo wa sauti

Vipindi ambavyo vipo katika mfumo wa sauti na kurushwa mubashara mtandaoni vimekuwa ni maarufu ambapo hata Linkedin imeingia ulingoni. Linkedin ni mtandao wa kijamii ambao una heshima yake ya tofauti na hiyo mingine ambayo sote tunaifahamu. Makampuni mengi duniani yanatangaza ajira kupitia Linkedin na watu kuajiriwa kupitia mtandao huo wa kijamii. Sasa Linkedin imeamua kuanzisha...

The post Linkedin waanzisha mtandao wao wa vipindi vilivyo katika mfumo wa sauti appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/linkedin-waanzisha-mtandao-wao-wa-vipindi-vilivyo-katika-mfumo-wa-sauti/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=linkedin-waanzisha-mtandao-wao-wa-vipindi-vilivyo-katika-mfumo-wa-sauti
Toleo lijalo la gemu la Call of Duty baada ya mwaka huu huenda likachelewa

Wapenzi wa kucheza magemu iwe kwa njia ya mtandao au hata kwa kifaa kingine cha kidijitali naamini tunafahamu gemu la Call of Duty ambalo limekuwepo kwa miaka mingi sasa na limekuwa likiboreshwa kila toleo jipya ambalo linatoka. Tangu mwaka 2003 hadi leo hii bado gemu la Call of Duty lipo kwenye ushindani na likiwa na...

The post Toleo lijalo la gemu la Call of Duty baada ya mwaka huu huenda likachelewa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/toleo-lijalo-la-gemu-la-call-of-duty-baada-ya-mwaka-huu-huenda-likachelewa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=toleo-lijalo-la-gemu-la-call-of-duty-baada-ya-mwaka-huu-huenda-likachelewa