Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri K. Bakari, atashiriki katika mjadala kuhusu Maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, kuelekea maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Mjadala huu utafanyika Mbashara kupitia Zoom, tarehe 19/2/2022 Saa Kumi Kamili Jioni (10:00).
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

😱 How to increase memory card storage From 4Gb to 128 GB ? OMG 😲 increase storage of mobile 2020
Amazing tricks for the increasement of storage of any type of memory card.

Disclaimer
Video is for educational & entertainment purpose only. Copyright Disclaimer Under Section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use.

tags:
How to increase memorycard, Increase Sdcard, How to increase memorycard storage, Increase memory storage, Expand phone storage, Expand memorycard storage, increase storage of memorycard, How to, Tutorail, toutorial, tutorial, Increase internal storage, Increase Ram on mobile, increa ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ufafanuzi uliotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) kuhusu masuala ya matumizi na udhibiti wa...
Jinsi ya Ku-sign na Ku-edit PDF Kupitia Smartphone

Kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi basi ni wazi kuwa umeshawahi kukutana na PDF, PDF maana yake ni “Portable Document Format” hii ikiwa ina maana ni aina ya document ambayo ni nyepesi zaidi au rahisi. PDF ni rahisi kutumika kwa mtu yoyote yule kwani hata sasa unaweza kutuma aina hiyo ya document kupitia WhatsApp, mbali […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/kuedit-pdf-kupitia-smartphone/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NINI KILITOKEA KWA MTOTO WA BRUCE LEE?
#BruceLee #BrandonLee #Movies
Leo tunakwenda kumuangalia Brandon Lee muigizaji wa filamu ya The Crow (1994), mtoto wa marehemu Bruce Lee ambae alifahamika kwa Martial Art Movies kama Enter the Dragon.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
HMD wazindua simu janja Nokia G21

Kwa miaka kadhaa sasa simu janja za Nokia zimekuwa kwenye ulingo wa ushindani na makampuni mengine ambayo nayo yanatoa rununu zinazovutia na zinazoendana na teknolojia ya kusasa. Nokia G21 imezinduliwa leo ikiwa imeboreshwa maeneo mbalimbali. Simu janja hii ambayo imezinduliwa leo ni kuboresha toleo lililopita kwa maana ya Nokia G20 ambapo kimsingi kuna maeneo mahususi...

The post HMD wazindua simu janja Nokia G21 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/hmd-wazindua-simu-janja-nokia-g21/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=hmd-wazindua-simu-janja-nokia-g21
Jinsi ya Kupata Namba za Simu za Zamani Ulizopoteza

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wamepoteza namba za simu za watu ambao hapo zamani ulikuwa na namba zao basi njia hii itakusaidia sana. Kupitia njia hii nitakuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia mtandao wa Facebook kuweza kupata namba za simu za zamani ambazo umepoteza, njia hii ni rahisi sana na mtu yoyote mwenye […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/namba-za-simu-zilizopotea/
TeknoKona (Facebook)

HMD Global waendeleza kutoa simu janja na hii ndio Noki G21.
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unatenga muda kusafisha kifaa chako cha kielektroniki ili kuzuia hitilafu ndogo ndogo kutokea. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Kipengele cha “News Feed” kwenye Facebook chabadilishwa na kuwa “Feed”

Kila leo watu wanachapisha habari ndani ya mtandao wa kijamii wenye watumiaji wengi duniani ambapo inaweza kuwa katika mfumo wa maandishi, picha au hata video na ule ukurasa wa mbele ambayo tunaweza kuyaona hayo yote kwenye Facebook unaitwa “Feed” zamani kikiitwa “News Feed“. Jumanne ya leo, Feb 15 Facebook kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter...

The post Kipengele cha “News Feed” kwenye Facebook chabadilishwa na kuwa “Feed” appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/kipengele-cha-news-feed-kwenye-facebook-chabadilishwa-na-kuwa-feed/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=kipengele-cha-news-feed-kwenye-facebook-chabadilishwa-na-kuwa-feed
TeknoKona (Facebook)

Tumerudi kule kwa zamani kwenye WhatsApp. Swali ni je, ni wapi huko?