Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kutengeneza nywila imara kwa kusoma makala hii

#Teknolojia https://zcu.io/EndD
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu sifa na uwezo wa kompyuta mpakato ya Lenovo Thinkpad X390.

#Teknolojia https://zcu.io/rZUG
TeknoKona (Facebook)

Matumizi ya simu wakati unaendesha chombo cha moto hukupunguzia umakini na kuweza kusababisha ajali, Chukua Tahadhari. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hamisha mafaili kutoka kwenye kompyuta yako kwa kuzingatia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Jihadhari na ulaghai kupitia zawadi za mtandaoni.

@tz_cert
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Wanafunzi wa Mbezi High School na Mivumoni Sekondari katika picha ya pamoja baada ya ziara ya mafunzo katika Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyofanyika tarehe 27/12/2021. Wanafunzi hao wamejifunza masuala mbalimbali kuhusu sekta ya mawasiliano Nchini.
Zuia Notification Sumbufu Kwenye Simu Yako #Maujana 145

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukipata Notification nyingi kwenye simu yako ambazo ni sumbufu, basi njia hii itaweza kusaidia sana kuweza kuzuia Notification sumbufu kwenye simu yako ya Android.
Njia hii ni rahisi sana na unahitaji kuangalia video hii hadi mwisho kuweza kujua jinsi ya kufanya ifanye kazi kwa usahihi. Unaweza kupata app husika kwenye video hii kupitia link hapo chini.
LINK MAALUM
1. Download App Kupitia Play Store - https://url.tanzaniatech.one/lr7
2. Kwa Maujanja Zaidi - https://www.youtube.com/watch?v=qd3gytOXdv0& ;amp;list=PL_1sa83-nSC2xUNegYWP8yY-l1JgQO1me
3. Fanya Maujanja Faster Ndani ya Dakika Moja - https://www.youtube.com/watch?v=Gp6H79pnOks& ;amp;list=PL_1sa83-nSC1bqADV4IwFPIoNlvpJ7scF
FOLLOW US
1. TikTok - https://www.tiktok.com/@tanzaniatech
2. Telegram - https://t.me/tanzaniatech
3. Facebook - https://facebook.com/tanzaniatech
4. Instagram - https://instagram.com/tanzaniatech_
5. Twitter - https://twitter.com/tanzaniatech
Apps za Muhimu Kuwa Nazo Kwenye Android TV Yoyote

Kama unayo Android TV na unataka kuinstall app mbalimbali basi ni muhimu kuangalia video hii ambayo nimekuonysha apps za muhimu kuwa nazo kwenye TV yako ya Android.
Apps hizi ni muhimu kuwa nazo kwani zitaweza kusaidia kufanya mambo mbalimbali kwenye TV yako ya Android kwa haraka na urahisi. Unaweza kudownload app hizi kupitia link hapo chini.
LINK MAALUM
1. App ya Kwanza - https://url.tanzaniatech.one/aXg
2. App ya Pili - https://url.tanzaniatech.one/7mM
3. App ya Tatu - https://url.tanzaniatech.one/vMD
4. App ya Nne - https://url.tanzaniatech.one/wvO
5. App ya Tano - https://url.tanzaniatech.one/29D
6. App ya Sita - https://url.tanzaniatech.one/UcT
7. App ya Saba - https://url.tanzaniatech.one/lNy
FOLLOW US
1. TikTok - https://www.tiktok.com/@tanzaniatech
2. Telegram - https://t.me/tanzaniatech
3. Facebook - https://facebook.com/tanzaniatech
4. Instagram - https://instagram.com/tanzaniatech_
5. Twitter - https://twitter.com/tanzaniatech
Tengeneza Android App Ndani ya DK 5 Bila Android Studio #Maujanja 146

Kama unataka kutengeneza Android App bila kutumia Android Studio basi njia hii itakusaidia kutengeneza Android App ndani ya DK 5 tu bila kuwa na haja ya kutumia kompyuta.
LINK MAALUM
1. Tembelea Tovuti Hapa Kutengeneza App Yako - https://url.tanzaniatech.one/Rz9
2. Tengeneza Firebase JSON kwaajili ya Notification - https://url.tanzaniatech.one/Cy9
FOLLOW US
1. TikTok - https://www.tiktok.com/@tanzaniatech
2. Telegram - https://t.me/tanzaniatech
3. Facebook - https://facebook.com/tanzaniatech
4. Instagram - https://instagram.com/tanzaniatech_
5. Twitter - https://twitter.com/tanzaniatech
KAMA UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE KUPATA MAUJANJA ZAIDI