Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.57K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia mahojiano haya mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Alhamisi hii tarehe 16/12/2021,kuanzia saa moja kamili jioni.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuifahamu sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015.

https://zcu.io/FXhK
TeknoKona (Facebook)

Fahamu kuhusu simu janja za iPhone zilizokuwa refurbrished na kwa nini zinauzwa bei rahisi.

https://zcu.io/WOoy
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Dkt. Zainab Chaula ameongoza kikao cha mashauriano ya namna ya Kuboresha Mahusiano na Kushirikiana katika kutoa huduma za Posta baina ya Tanzania na Kenya.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, Postamasta Mkuu kutoka Shirika la Posta Kenya Bw. Daniel Kagwe na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Mbodo, tarehe 16/12/2021.
TeknoKona (Facebook)

Unapofuta mafaili usiyoyatumia unaifanya kompyuta yako iweze kufanya kazi kwa wepesi zaidi. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unatenga muda kusafisha kifaa chako cha kielektroniki ili kuzuia hitilafu ndogo ndogo kutokea. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/