Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Kuongeza umakini unapokuwa kazini hakikisha unazima ujio wa taarifa zote za kwenye mitandao ya kijamii. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Tumia njia za kidigitali kukuza na kuendeleza biashara yako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

CHUKUA HATUA!... Toa taarifa kwa Jeshi la Polisi haraka. Kataa unyanyasaji mitandaoni.

#SambazaMchongoNaSioUongo
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kuwekeza katika TEHAMA ni kichocheo kikuu cha maendeleo ya Uchumi.

#7/12/2021 #uchumiwakidijitali
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JIFUNZE EXCEL ADVANCED | TOTAL & SUBTOTAL
JIFUNZE EXCEL ADVANCED | TOTAL & SUBTOTAL

Jaribu App yetu : https://nkitlessonscenter.glideapp.io/
Kama hauna Email tumia hii : tecape5265@shirulo.com
Au jaza fomu hii kujiunga na masomo yetu: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
---------------------------------------------------------
Link ya video hii: https://youtu.be/yMGrInKXxc0
---------------------------------------------------------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
-------------------------------------------------------
Pia unaweza kutazama:
- Zuia virusi kula mafaili yako bila ya Anti virus yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=_y2p_5icmeU&t=1s
- Mchezee rafiki y ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NI KWELI PAKA ANA ROHO TISA?
Kupitia episode hii nakwenda kukupa ukweli juu ya zile dhana za kusema paka ana roho 9, au Paka ana roho 7..ili kujua ukweli wa hiyo dhana ya kwamba paka wana roho tisa wacha kwanza tuangalie wapi dhana hii ilitokea
TeknoKona (Facebook)

Jokofu linaweza kuharibika kama umeme ukiingia mwingi sana au kidogo sana, Tumia kifaa cha ziada kuchuja umeme unaoingia kwenye jokofu lako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Xiaomi wana lengo gani na wapenzi wa simu janja za Android lakini?
TeknoKona (Facebook)

Kitu hiki ni kipya kwenye Twitter. Tujihadhari!