Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.58K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI WASANII WANAVAA CHENI ZA THAMANI?
Wasanii kama Diamond platnumz,rayvanny na Harmonize wana kitu kinachofanana,nje ya wote kufanya mziki wote hupendelea cheni za bei ghali..Huko marekani ndo usiseme,Rick Ross peke yake ana cheni iliyogharimu dola 1.5 Milioni sawa na shilingi bilion 3.4 hivi, hiyo ni cheni moja tu
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya mafunzo ya wanafunzi kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) pamoja na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), kutembelea Makumbusho ya Mawasiliano yaliyopo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), tarehe 24/11/2021.

TCRA inawakaribisha Watanzania wote kutembelea makumbusho ya mawasiliano iliyopo Makao Makuu jijini Dar es Salaam ili kupata fursa ya kujifunza na kujionea historia ya Teknolojia ya Mawasiliano tangu kale hadi sasa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - BAMBO LA MTAA | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 25/11/2021💥💥💥

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

PROFESSIONAL WORKERS WHO LOVE THEIR JOB
BRAIN TIME ► https://goo.gl/tTWgH2

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) amekabidhi vyeti vya utambuzi kwa washindi wa shindano la ubunifu wa TEHAMA Barani Afrika 2021 lililoandaliwa na Umoja wa Mawasiliano Afrika (ATU). Tukio hilo limefanyika mara baada ya ufunguzi wa kikao cha mashauriano baina ya TCRA na wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Nchini, kilichofanyika Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam, tarehe 25/11/2021.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

OTILE BROWN | MAMBO 10 USIYOFAHAMU
Otile Brown aka Most romantic man kama vile mashabiki zake hupendelea kumuita au kifupi unaweza kumuita OB, unaweza kusema ndiye msanii namba moja kwa sasa huko Kenya...Hi inathibitishwa na Billboard pale mwaka 2020 walipomtaja kama msanii aliyetezamwa sana huko Kenya kwa mwaka huo kupitia mtandao wa YouTube.Well leo kupitia episode hii tunakwenda kuangazia safari ya Otile brown kutokea Mombasa had kufika Kenya na kuanza kuimba kinyume na mapenzi yake ya kurap..
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) amekabidhi vyeti vya utambuzi kwa washindi wa shindano la ubunifu wa TEHAMA Barani Afrika 2021 lililoandaliwa na Umoja wa Mawasiliano Afrika (ATU). Tukio hilo limefanyika mara baada ya ufunguzi wa kikao cha mashauriano baina ya TCRA na wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Nchini, kilichofanyika Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam, tarehe 25/11/2021.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fahamu matatizo mbalimbali kuhusu simu yako
tumia njia hii kuweza kujua matatizo mbalimbali kuhusu simu yako, kuanxia kwenye mfumo wa hardware pamoja na software yani utaweza kujua kama simu yako

ina tatizo lolote kuanxia speaker , sehemu ya chaji , kioo , Bluetooth , wifi , volume button , fingerprint na nk mambo mengi kuhusu simu Yako.
https://youtube.com/channel/UCOTnPKbwbXH2fOwkfD9APVg — I did 90 attempts to update this feed and I failed every time.
So I'm deleting it from your subscription list.
If you're 100% sure this link is valid, you may contact my creator via /feedback.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NYUMBA YA RICK ROSS | HOUSE TOUR
Rick ross ana networth ya Dola Milioni 40 iliyoikusanya kupitia mziki na biashara nyingi..Leo tunakwenda kuangalia nyumba ya Rick Ross, sembuse Hamissa Mobeto anakwenda kuishi huko 😂😂