HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐ก๐ท๐ถ๐ฎ ๐๐ผ๐ฟ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฑ๐ต๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ถ ๐บ๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐บ๐ฎ๐ฟ๐๐ฝ๐ต๐ผ๐ป๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐
Kama ulikua na changamoto juu ya mwanao , rafiki , ndugu , mpenzi wako dhidi matumizi ya simu yake yanakupa wasiwasi ๐ basi Leo karibu nikujuze njia Bora muhimu Sana ambayo wala hutajutia kabisa.
Hii naitoa kwa ajili ya elimu tu wala sio mambo mengine hivyo kufuatilia taarifa za mtu bila ridhaa yake sio vizuri ni kosa kisheria hivyo natoa angalizo
Unajua watu wengi wanawanunulia watoto, wapenzi au ndugu zao simu lakini kuna wakati wanatumia vibaya kupitiliza jambo linalopelekea mtu aliyempa simu kuwa na wasiwasi na Tabia yake.
Njia huu utaweza kujua vitu vingi anavyofanya huyo mtu kupitia simu yako mambo mengi tu , njia hii inafanya kazi kwa simu zote za android & iphone hivyo usijali kabisa.
Hii app himewekwa kwa ajili ya watoto kufuatilia Tabia yake Sasa ukiamua kumfuatilia mpenzi wako unalako jambo ๐คญ.
Hakikisha simu yako Ina uwezo wa android version kuanzia tano ndo huu mfumo unafanya kazi ๐, pia kwa watumiaji wa iphone ni versions ya 13 na kuendelea hakikisha unaijua email ya muhusika wako.
Kama wewe ndo mzazi ingia play store au app store pakua app inayoitwa
๐ google family link Kisha ifungue alafu fuata hatua zote watakazo kuambia ufanye
hakikisha email ya mwanao | mtu wako unayo pia kama huyo mtu wako ana akaunti unaweza kutengeneza pia humo ndani ya hiyo app bila shida yoyote.
Ukimaliza ku set kwenye simu yako chukua simu ya mwanao Kisha paku hiyo app family link child & teen kwenye simu yake Kisha weka code Ambazo umepewa kutoka kwenye simu yako.
Baada ya kufanya hivyo utaletewa sehemu Mbalimbali za kuseti hii app utaweza kuseti mpaka muhusika kushindwa kuiondoa kwenye simu yake.
Utaweza kujua ๐
Eneo alilopo wakati huo , muda anaotumia kwenye app , pia utakua na uwezo wa kumzuia kutumia baadh ya app , utaweza kuona data zake za Whatsapp , utaweza kuzuia baadhi ya video kuziona kwenye YouTube au mitandao ya kijamii na mambo mengine mengi tu.
Vipi utaanza kumfuatilia mtoto wako ๐ baada ya kumpa simu kwa kuweka hii app kwenye simu yake au lah tuachie maoni yako ?