Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi kituo cha kompyuta kwa Umma (Tele-Centre) kwa Shule ya Sekondari Tumbatu iliyopo katika kisiwa cha Tumbatu - Zanzibar kwa lengo la kutoa huduma za TEHAMA kwa Waalimu, Wanafunzi na jamii ya kisiwa hicho kilichopo umbali mchache kutoka kisiwa cha Unguja. Uzinduzi wa kituo hicho ulihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Zanzibar Ndugu Amour Hamil na kwa upande wa TCRA Mkurugenzi Mkuu aliwakilishwa na Mkuu wa Ofisi ya TCRA Zanzibar Bi. Esuvatie Masinga aliyesaini hati ya makabidhiano ya kituo hicho pamoja na vifaa vya TEHAMA vitakavyotumika.

NYUMBA KATIKATI YA BARABARA? β Newzfid
https://youtu.be/Yjp04yOQ_LM 1:00
https://youtu.be/Yjp04yOQ_LM 1:00
YouTube
NYUMBA KATIKATI YA BARABARA?
Mnakumbuka picha hii ya nyumba iliyokati kati ya barabara? ok...basi wacha tujikumbushe kisa hiki, ilikuweje mpaka nyumba iwe kati ya barabara na nini kilipelekea barabara kiwango cha lami ijengwe kuzunguka nyumba hiyo ya gorofa 4?