MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU WILL SMITH β Newzfid
https://youtu.be/8X_sifOIRBI 9:10
https://youtu.be/8X_sifOIRBI 9:10
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU WILL SMITH
Katika tasnia ya filamu huko Hollywood anafahamika kama Will smith na kwenye mziki anafahamika kama Fresh Prince.Well ni rahisi kutazama maisha yake na kuhisi kama utajiri ulimfuata tu kirahisi, Will smith kama vijana wengi waliopata mafanikio ya haraka kupitiaβ¦
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi kituo cha kompyuta kwa Umma (Tele-Centre) kwa Shule ya Sekondari Tumbatu iliyopo katika kisiwa cha Tumbatu - Zanzibar kwa lengo la kutoa huduma za TEHAMA kwa Waalimu, Wanafunzi na jamii ya kisiwa hicho kilichopo umbali mchache kutoka kisiwa cha Unguja. Uzinduzi wa kituo hicho ulihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Zanzibar Ndugu Amour Hamil na kwa upande wa TCRA Mkurugenzi Mkuu aliwakilishwa na Mkuu wa Ofisi ya TCRA Zanzibar Bi. Esuvatie Masinga aliyesaini hati ya makabidhiano ya kituo hicho pamoja na vifaa vya TEHAMA vitakavyotumika.