Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi - Zanzibar Ndugu Amour Hamil atazindua kituo cha kompyuta kwa umma (Telecentre) katika Shule ya Sekondari Tumbatu Siku ya Alhamisi tarehe 23/9/2021 kuanzia Saa Tatu kamili Asubuhi. Uzinduzi wa kituo hicho unaratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐๐ฅ๐๐ฒ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ ๐ง๐ ๐๐ฉ๐ฉ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ ๐ก๐๐ณ๐ข๐ญ๐๐ค๐ข ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ฐ๐ง๐ฅ๐จ๐๐ ๐๐ฉ๐ฉ๐ฌ ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐
Hivi umeshawahi kutokewa na hile hali ya kutaka kupakua kitu kutoka kwenye soko la app store au play store lakini inazingua Yani bando unalo Hila vitu havitaki ?
Hili ni Moja ya jambo linalowaumiza Sana watu wengi haswa watumiaji wa simu za Samsung , infinix , Oppo , apple na nk.
Wakati unataka kudownload app play store au app stores basi mara download pending , can't download au app inafika asilimia tisini alafu inakataa nini Cha kufanya ๐
โซ๏ธ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ป๐ฑ๐ฟ๐ผ๐ถ๐ฑ
Njia rahisi ya kuweza kuondoa hili tatizo ni kuweza kuingia setting kwenye simu yako Kisha app alafu tafuta app ya play store Kisha Clear data & cache alafu force stopped malizia na kuweza ku restart simu yako [ Zima & washa sim...
View original post

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Bambo la Mtaa. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Unakosaje Bambo la Mtaa Alhamisi hii??
Ni kuanzia saa Mbili na Nusu Usiku (2:30) kupitia Chaneli ya Clouds Tv.
Usikose!!