〽︎ Teknolojia
🚀 Pie launcher
Nazani kubadili muonekano wa Simu ni muhimu sio sasa hakikisha hii app unayo inaitwa Pie launcher ni nzuri sana yenye kubadili home screen Yako kuwa na muonekano wa kipekee sana nisikuchoshe itafute utaiona mwenyewe.

🚀 Pinterest
Hii ni app nzuri ikiwa unatafuta wallpaper Kwa ajili ya Simu, Kompyuta basi hakikisha unatumia hii app inaitwa Pinterest inakupa picha nzuri zenye ubora bure bila kulipia chochote kile Kazi Yako ni kudownload Tu.

🚀 Url Check
Ikiwa una wasiwasi juu ya link unazotumiwa kwenye Simu Yako basi tumia hii app inaitwa Urlcheck kukusaidia kwenye kuangalia kama link uliyotumia ni nzuri kwako au lah ili kuwa salama zaidi.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Non Active phone ikiwa tayari kwenda kwa mwanakitaa wa mkoani🔥🔥🔥… Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori

iPhone 17 ProMAX/16 ProMAX/15 ProMAX/14 ProMAX/13 ProMAX/12ProMAX/11ProMAX - iOS 26.1 Battery Test 🔥

Unadhani Simu ya iPhone au Samsung Ndio Bora? Angalia Orodha ya 2025!
Hii ni orodha ya simu bora za mwaka 2025, katika hii orodha utakutana samsung, sony, google pixel, huawei, iphone na simu zingine