Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.03K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Finally we are back 😁 baada ya kuwa Kimya Kwa kipindi kadhaa tumerudi wana Teknolojia ✍️
︎ Teknolojia

𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗦𝗪𝗢𝗥𝗗 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗠𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗢

Hivi unajua unaweza kuzuia watu kuzima simu yako Ikitokea imeibiwa au kupotea mpaka aweke password ?

Thread ni yako 👋

Repost
Like
Follow.......👀
︎ Teknolojia

𝗔𝗽𝗽𝘀 𝟲 𝗕𝗼𝗿𝗮 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗡𝗼𝘃𝗲𝗺𝗯𝗮 𝗻𝗶 𝗻𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗯𝗮𝗹𝗮𝗮 𝗨𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮

Leo nakuletea apps Sita nzuri balaa unapaswa kutumia kwenye Simu Yako kama unatumia Android au iphone ✍️.

Repost
Like
Follow 🇹🇿
︎ Teknolojia

Kwa mwezi Novemba nakuletea apps 5 nzuri zenye kupendezesha na kuifanya Simu Yako kuwa ya kipekee sana, ulimwenguni Kuna apps zaidi ya milioni 100😃, Sisi kazi Yetu kukuletea apps Bora za kuwa nazo kwenye kifaa chako.
Kabla ya yote hakikisha ume Tu follow ili kujifunza mengi ✍️

@Bongotech255
︎ Teknolojia

🚀 Novolume
Badilisha muonekano wa sehemu ya kuongeza sauti kwenye Simu Yako kuwa ya kipekee Kupitia app ya Novolume ni nzuri sana kwani sehemu ya kuongeza au Kupunguza sauti inakua kama saa 🔥.
︎ Teknolojia

📻 Fm Radio - Tanzania Radio
Nazani Simu nyingi sasa hazina app ya Radio na unapenda kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio kupitia Simu Yako unafanyaje,

Nimekuletea app nzuri yenye kukupa uwezo wa kusikiliza vipindi vyote vya Radio Tanzania kupitia Simu Yako ya Smartphone.
︎ Teknolojia

🚀 OtoMusic
Ikiwa unasumbuka na app nzuri ya kusikiliza audio mbalimbali basi hakikisha unatumia hii app ya OtoMusic ni app nzuri sana yenye kukupa muonekano bomba wakati unasikiliza Audio mbalimbali kupitia Simu Yako.
︎ Teknolojia

🚀 Pie launcher
Nazani kubadili muonekano wa Simu ni muhimu sio sasa hakikisha hii app unayo inaitwa Pie launcher ni nzuri sana yenye kubadili home screen Yako kuwa na muonekano wa kipekee sana nisikuchoshe itafute utaiona mwenyewe.
︎ Teknolojia

🚀 Pinterest
Hii ni app nzuri ikiwa unatafuta wallpaper Kwa ajili ya Simu, Kompyuta basi hakikisha unatumia hii app inaitwa Pinterest inakupa picha nzuri zenye ubora bure bila kulipia chochote kile Kazi Yako ni kudownload Tu.
︎ Teknolojia

🚀 Url Check
Ikiwa una wasiwasi juu ya link unazotumiwa kwenye Simu Yako basi tumia hii app inaitwa Urlcheck kukusaidia kwenye kuangalia kama link uliyotumia ni nzuri kwako au lah ili kuwa salama zaidi.