Audio
@Huduma
Itβs official kitu gani upo excited nacho zaidii kwenye iPhone series na ni kitu gan kitakua cha kwanza kununua kati ya vyote vitavyotambulishwa kwenye apple event iyo tarehe 09π₯π₯π₯. Cc @blax_store175_ @blax_store175_

Kampuni ya teknolojia kutoka nchini Nigeria, Uniccon Group imetambulisha Omeife, roboti wa kwanza mwafrika mwenye mwonekano wa kibinadamu. Roboti huyo mwenye urefu wa futi sita ametengenezwa mahsusi kusaidia sekta muhimu ikiwemo afya, kilimo na elimu. Omeife ni roboti mwenye uwezo kuzungumza lugha nyingi zikiwemo Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kiswahili, Pidgin, Wazobia, Kiafrikaans na Kigbo, huku akielewa pia tamaduni na desturi za Kiafrika ili kufanya mazungumzo yawe ya kiasili zaidi. Mbali na lugha, roboti huyo amebuniwa akiwa na teknolojia ya kutambua mazingira (terrain intelligence) na vihisi vya umakini kwenye mikono (precision grip sensors), vinavyomwezesha kutembea kwa urahisi maeneo mbalimbali na kushika vitu kwa uangalifu.