Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.46K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Realme hizi sasa ni sifa.

Realme kwenye maonyesho yao ya juzi huko China wameonyesha ujio wa simu yenye betri ya 15000mAh.

Pia kuna simu nyingine zenye cooling fan.
5️⃣ Agree to Terms & Conditions

Soma na ukubali masharti ya Apple.

Baada ya hapo, account yako itatengenezwa rasmi.
3️⃣ Jaza Taarifa Zako

Ingiza Jina lako kamili na tarehe ya kuzaliwa.

Ingiza email yako (au chagua Get a free iCloud email address).

Weka password imara yenye herufi kubwa, ndogo, namba na alama.
@Huduma

πŸ’¨ Realme yenye battery kubwa la 15,000mAh ni nyembamba zaidi ya iPhone 16 Pro Max yenye 4685mAh

Cha kushangaza zaidi Realme ina uzito mdogo wa 208g Vs 227g iPhone

Teknolojia ya Silicon-carbon inaenda kulishika soko tusubirie pia soko la powerbank soon wataamia huku.
6️⃣ Log in na Utumie

Baada ya kuunda, sasa unaweza kuingia kwenye App Store, iCloud Drive, iMessage, na Find My iPhone.

Pia unaweza kuweka iCloud Backup ON ili kuhifadhi data zako kila mara.
πŸ”‘ Vidokezo Muhimu

Usisahau password ya Apple ID yako. Ukiisahau, iPhone yako inaweza kufungwa (Activation Lock).

Tumia namba ya simu unayoitumia mara kwa mara kwa ajili ya kurahisisha recovery.
4️⃣ Verification

Apple itatuma code ya kuthibitisha (OTP) kwenye namba ya simu uliyoandika.

Ingiza hiyo code kuthibitisha kuwa ni wewe.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kufanya iPhone mirroring kupitia macbook πŸ‡°πŸ‡ͺ
Audio
@Huduma

It’s official kitu gani upo excited nacho zaidii kwenye iPhone series na ni kitu gan kitakua cha kwanza kununua kati ya vyote vitavyotambulishwa kwenye apple event iyo tarehe 09πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Cc @blax_store175_ @blax_store175_
Audio
@Huduma

Kampuni ya teknolojia kutoka nchini Nigeria, Uniccon Group imetambulisha Omeife, roboti wa kwanza mwafrika mwenye mwonekano wa kibinadamu. Roboti huyo mwenye urefu wa futi sita ametengenezwa mahsusi kusaidia sekta muhimu ikiwemo afya, kilimo na elimu. Omeife ni roboti mwenye uwezo kuzungumza lugha nyingi zikiwemo Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kiswahili, Pidgin, Wazobia, Kiafrikaans na Kigbo, huku akielewa pia tamaduni na desturi za Kiafrika ili kufanya mazungumzo yawe ya kiasili zaidi. Mbali na lugha, roboti huyo amebuniwa akiwa na teknolojia ya kutambua mazingira (terrain intelligence) na vihisi vya umakini kwenye mikono (precision grip sensors), vinavyomwezesha kutembea kwa urahisi maeneo mbalimbali na kushika vitu kwa uangalifu.