〽︎ Teknolojia
💨Realme hizi sasa ni sifa.
Realme kwenye maonyesho yao ya juzi huko China wameonyesha ujio wa simu yenye betri ya 15000mAh.
Pia kuna simu nyingine zenye cooling fan.

5️⃣ Agree to Terms & Conditions
Soma na ukubali masharti ya Apple.
Baada ya hapo, account yako itatengenezwa rasmi.

3️⃣ Jaza Taarifa Zako
Ingiza Jina lako kamili na tarehe ya kuzaliwa.
Ingiza email yako (au chagua Get a free iCloud email address).
Weka password imara yenye herufi kubwa, ndogo, namba na alama.

@Huduma
💨 Realme yenye battery kubwa la 15,000mAh ni nyembamba zaidi ya iPhone 16 Pro Max yenye 4685mAh
Cha kushangaza zaidi Realme ina uzito mdogo wa 208g Vs 227g iPhone
Teknolojia ya Silicon-carbon inaenda kulishika soko tusubirie pia soko la powerbank soon wataamia huku.

6️⃣ Log in na Utumie
Baada ya kuunda, sasa unaweza kuingia kwenye App Store, iCloud Drive, iMessage, na Find My iPhone.
Pia unaweza kuweka iCloud Backup ON ili kuhifadhi data zako kila mara.

🔑 Vidokezo Muhimu
Usisahau password ya Apple ID yako. Ukiisahau, iPhone yako inaweza kufungwa (Activation Lock).
Tumia namba ya simu unayoitumia mara kwa mara kwa ajili ya kurahisisha recovery.

4️⃣ Verification
Apple itatuma code ya kuthibitisha (OTP) kwenye namba ya simu uliyoandika.
Ingiza hiyo code kuthibitisha kuwa ni wewe.