@Huduma
💨 Hii Realme inakuja na battery kubwa lenye 15,000mAh
Hii simu inakaa na chaji siku 5
Imetumia teknolojia mpya ya Silicon-carbon unaweza kuona simu iko na battery kubwa lakini umbo bado ni dogo linganisha na ukubwa wa hii powerbank yenye ukubwa huo huo wa 15,000mAh

💨 Tuhuma nzito dhidi ya Nothing Phone 3
Wametumia picha ya huyo mdada kama sample ya picha iliyopigwa na simu yao kumbe hii picha ilipigwa na 2023 na Professional Camera na simu ni 2025.
2016 pia Huawei kwenye P9 walishadanganya watu kwa picha walizopiga na Camera ya Canon.