Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna Ya Kufanya Usipatikane Hewani Bila Kuzima simu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hawadzabe hawaamini kwenye dini, Hawana simu Na Nyama wanayopenda zaidi ni Nyama ya nyani..
︎ Teknolojia

💨 Camera ya 0.5x Ultra wide huwa ni komesha kwenye hizi angle za ndani ya gari 🔥
︎ Teknolojia

💨 Hawa Vivo sehemu wanapofeli ni hawawezi kujishikilia

Vivo X200 Ultra wengine hata bado haijatufikia alafu mwezi ujao huko China wanazindua Vivo X300 Pro

Ifike muda sasa makampuni yaache huu mtindo wa kuanza kuzindua simu China kwanza alafu baada ya miezi kadhaa ndio Global.
︎ Teknolojia

💨 Jirani leo umewasha moto? Nimeishiwa pawa namna ulivyo mrembo.