Inawezekana_ni_wakati_wa_ajabu_kuishi_duniani_wa_sasa,_dunia_ilianza.m4a
837.8 KB
@Huduma
Inawezekana ni wakati wa ajabu kuishi duniani wa sasa, dunia ilianza kushuhudia roboti zikifanya kazi mbalimbali, migahawani, kuwa dada wa kazi na hata kuolewa, lakini sasa mambo yameenda mbali zaidi kwani wanasayansi kutoka China wapo mbioni kuleta roboti zitakazokuwa na uwezo wa kubeba mimba. Tovuti ya New York Post, ilinukuu taarifa zilizochapishwa na tovuti ya Chosun Biz, China inafanya kazi ya kubuni roboti yenye tumbo la uzazi bandia litakalopokea virutubisho kupitia bomba na litakuwa na uwezo wa kubeba kijusi kwa takribani miezi 10 kabla ya kujifungua. Inaelezwa wazo la kuunda roboti mwenye uwezo wa kubeba ujauzito lilibuniwa na Dk Zhang Qifeng, mwanzilishi wa kampuni ya Kaiwa Technology, yenye makao yake Guangzhou, China. Taarifa pia zimefichua kwamba ikiwa kila kitu kitaenda kama ilivyopangwa, muundo wa kwanza wa roboti hiyo utazinduliwa mwaka ujao. Kwa wale wanaopata changamoto ya kushika mimba, wataweza kumkodisha roboti huo ili kuwabebea mimba zao kwa gharama ya takriban Yuan 100,000 (saw

〽︎ Teknolojia
💨 Hawa Vivo sehemu wanapofeli ni hawawezi kujishikilia
Vivo X200 Ultra wengine hata bado haijatufikia alafu mwezi ujao huko China wanazindua Vivo X300 Pro
Ifike muda sasa makampuni yaache huu mtindo wa kuanza kuzindua simu China kwanza alafu baada ya miezi kadhaa ndio Global.