Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kesho huko India itazinduliwa Redmi 15 5G itakuja na battery kubwa la 7000mAh

Bei around laki 4.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Are u ready for this wanakitaa??!! . . .
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kufanya telegram ifanye kazi kwenye simu,Laptop au Kompyuta kwa kutumia VPN 🀣🀣 πŸ‡°πŸ‡ͺ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
@Huduma

πŸ’¨ Siku hizi Kabila la Hadzabe limekuwa maarufu huko nchi za Asia kuliko hata maasai.

Hawa jamaa huko Tiktok wametengeneza hadi T-shirts za Dudukwe 😁
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

iPhone 16 vs 15 vs 14 vs 13 vs 12 Battery Test | BATTERY CHARGING TEST
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Samsung A17 5G πŸ”₯❣️

Hii ni ya moto sanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Redmi Note 15 Pro+ inakuja na

β–ͺ️7000mAh battery kubwa
β–ͺ️90W Fast Charging

Battery la hii simu unalitumia miaka 5 mfululizo bila kupoteza ubora.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Nothing wanatuletea powerbank yao inayopokea software update 😁

β–ͺ️20,000mAh
β–ͺ️65W fast charging
β–ͺ️Glyph light
β–ͺ️Wireless charging
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Uchambuzi wa kina juu ya teknolojia ya Meta AI πŸ‡°πŸ‡ͺ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kesho kutokuwa na uzinduzi wa Google Pixel 10 series
@Huduma

πŸ’¨ Xiaomi OpenWear Stereo

Hizi earphone zina mziki wa bilioni 7 ila Xiaomi wanaziuza 350,000

Kwa watu wanaokimbia mali hii hapa
@Huduma

πŸ’¨ Oppo Find X9 Pro inakuja ikiwa na jumla ya Camera 4

Kati ya hizo sensors 3 wamezitoa Samsung na 1 Sony.
πŸ’‘ Kumbuka:
Simu yako ni investment. Ikiwa utaitunza vizuri, itakudumu kwa muda mrefu, kufanya kazi kwa ufanisi, na kukupa experience nzuri kila siku.