Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Je! Ulikua unaijua mbinu hii mpya ya mataperi Mwanakitaa? Najua ulikua ufahamu mengi kuhusu hili swala ila Tafadhali angalia video Hii Mpaka Mwisho Then Thank Me Later.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuseti simu ya mtu wako wakaribu ijipokee baada ya kupiga simu
💨 Uwezo 🔥🔥
✔️ Ukiwa lazima utumie public computer → weka “Charge only” mode.

✔️ Kwenye Android: Nenda Developer Options > Default USB Configuration > Charging Only.
︎ Teknolojia

💨KUWA MAKINI 🚨: UKICHOMEKA SIMU KWENYE COMPUTER YA PUBLIC DATA ZAKO ZINAWEZA KUNYONYWA KIMYA KIMYA 📱💻

Unajua ukiweka simu yako kwenye computer ya library/cyber ili kuchaji au kuhamisha faili... kuna uwezekano mkubwa data zako zinakopiwa bila wewe kujua?

Thread 🧵👇
4️⃣ Jinsi ya Kujilinda 🛡️

✔️ Tumia USB data blocker (kifaa kidogo kinachozuia data channel, kinaacha power pekee).

✔️ Chomeka simu yako kwa adapter kwenye socket – sio PC ya mtu mwingine.
3️⃣ Dalili za Hatari ⚠️

Simu yako inakuuliza “Allow access to data?” kila mara.

Kuna icon ya “File transfer” bila wewe kuweka.

Battery inacharge unusually haraka/kwa shida.
2️⃣ USB Sniffing ni nini?
Ni mbinu inayotumika ku-spy data zako kupitia USB.
Cyber café au public PC inaweza kuwa na software ambazo:
1️⃣ USB Sio Charger Pekee
Kila mara unapochomeka simu yako kwa USB:

Kuna “data channel” na “power channel.”

Computer inaweza kufikia simu yako kupitia data channel.

Hii inamaanisha faili, contacts, SMS, hata picha zako → ziko wazi.
5️⃣ Lesson Kuu

Usiichomeke ovyo kwenye computer ya public.
Kuchaji kwa socket ni salama zaidi kuliko kwa PC ya mtu mwingine. 🔒
Zina-scan simu yako mara tu unapoichomeka.

Zinakopi messages, call logs, WhatsApp data, n.k.

Yote yanafanyika kimya kimya bila alert yoyote.
︎ Teknolojia

💨 VIVO VISION EXPLORER EDITION

Baada ya Apple Vision Pro kutoka 2023 mpaka sasa haikuwahi kutoka product yenye neurotechnology yenye uwezo wa kuunganisha Ubongo, macho, mikono ya binadamu na VR kisha kufanya kazi kwa ufanisi.

Sasa Vivo 21/8/2025 watazindua product kama hiyo angalia video👇

Apple yao inauzwa zaidi ya 10M je hii ya Vivo itakuwa vipi?