Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
4️⃣ Battery Drain + Heat
Kuchaji na kutumia internet kwa wakati mmoja kunasukuma voltage juu sana → betri inatoa joto kubwa.
Sync ya barua pepe

Backups

Updates

Push notifications
Hii inaongeza CPU load bila wewe kugusa simu.
︎ Teknolojia

💨Huawei mate 80 RS🔥🔥
💨 Wanawake wakionaga mwanaume mwenye gari wanatokwaga na vinyweleo vya baridi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Ushasikia njia Nyingi Za kukagua Simu kama ni Refurb, Non Active au Used…!!! Ndiyo mwanakitaa na hii Video itaenda kumaliza utata wa maswali yako kuhusu vyote ulivyowahi kusikia kuhusu kukagua iPhone kabla ya kununua… Angalia video hii mpaka mwisho utakuja kunishukuru baadaye… Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Buy Genuine, Buy Confidence.. Karibuni sana mjipatie genuine products… Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuongeza followers instagram kupitia REMIX POST feature bila kupost video mpya yoyote
@Huduma

💨 Oppo Reno 14 design yake ni 🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Crush wangu alikuwaga na meno kama haya kuna siku nikakuta kaweka masengenge kwenye meno hamu ikaniisha.
💨 Jimmy Chansa pale GSM 🔥
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Ukweli kuhusu kuchaji simu mpya! Umeambiwa lazima uichaji saa 8 mara ya kwanza? 🤔 Huo ni ushauri wa enzi za betri za zamani – simu za kisasa hazihitaji hivyo kabisa! 🔋 Tumia mara moja baada ya kufungua boksi Chaji kuanzia 20%–80% 🔥 Epuka joto kali – ndilo adui wa betri
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kufanya doll edit kwa kitumia chatgpt na CapCut
2️⃣ Forensic Recovery Tools

Kuna programu kama UFED (Cellebrite), Dr.Fone, iMyFone D-Back ambazo hutumiwa na wataalamu wa digital forensics.

Zinaweza kusoma backups za zamani au files zilizofutwa kwenye internal storage.