Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuzuia namba yako isiweze kujulikana na truecaller..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kucheza game za kwneye sim kwa kutumia ps5 controller pad Hii imekaa poa saba kwa sisi Gamers🔥🔥
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

💡 Internet kupitia mwanga! 🚀 Hii si Wi-Fi… ni Li-Fi – teknolojia mpya inayotumia mwanga wa LED kutuma data kwa kasi ya ajabu 📶 Kasi yake inaweza kufika hadi mara 100 ya Wi-Fi! Je, unafikiria siku moja tutaachana na Wi-Fi kabisa? 🤔
💡 Njia za Kupunguza Joto

Tumia Wi-Fi badala ya mobile data pale inapowezekana.

Funga apps zisizohitajika.

Epuka kutumia simu ukiwa unaichaji.

Tumia battery saver mode kwenye browsing ndefu.
2️⃣ Baseband Processor Load
Simu yako ina chip maalum inayoitwa baseband processor inayoshughulika na mawasiliano ya mtandao.
1️⃣ CPU Background Processes
Unapowasha data, apps nyingi huamka kimya kimya na kuanza kufanya kazi:
3️⃣ Tower Congestion
Kama uko kwenye eneo lenye network congestion (watumiaji wengi), simu yako inalazimika kutumia nguvu kubwa kutuma na kupokea data kutoka kwenye minara.

Hii inasababisha battery drain na joto kuongezeka.
5️⃣ Graphics Rendering
Apps za video fupi (TikTok, Instagram Reels, YouTube Shorts) zinahitaji GPU kufanya kazi nonstop → joto linaongezeka.
Unapotumia data, chip hii hufanya kazi kwa kasi kubwa kusafirisha data kwa njia ya uplink na downlink.
Kadri inavyofanya kazi zaidi, ndivyo inavyotoa joto zaidi.
4️⃣ Battery Drain + Heat
Kuchaji na kutumia internet kwa wakati mmoja kunasukuma voltage juu sana → betri inatoa joto kubwa.
Sync ya barua pepe

Backups

Updates

Push notifications
Hii inaongeza CPU load bila wewe kugusa simu.
︎ Teknolojia

💨Huawei mate 80 RS🔥🔥
💨 Wanawake wakionaga mwanaume mwenye gari wanatokwaga na vinyweleo vya baridi.