Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ’‘ Mfano:
Unauza simu? Chagua watu wenye interest:
πŸ‘‰ Android phones
πŸ‘‰ Smartphones
πŸ‘‰ Jumia
πŸ‘‰ Dar es Salaam
πŸ‘‰ Tanzania
9. Bonus: Boost ya Instagram Bila Akaunti ya Biashara

πŸ‘‰ Badilisha akaunti yako kuwa Professional Account
πŸ‘‰ Fungua sehemu ya β€œInsights”
πŸ‘‰ Tumia Boost tools pale pale kwenye post zako
7. Jinsi ya Kulipia Boost kwa M-PESA

πŸ‘‰ Tumia apps kama:
β€’ Chipper Cash
β€’ Payday
β€’ Grey
β€’ Barter
β€’ Eversend

πŸ” Zote zinawezesha kupata VISA card ya kulipia Facebook Ads kwa M-PESA moja kwa moja!
πŸ“ Kama una duka au biashara ya mtandaoni – Boost ni njia rahisi ya kuwafikia maelfu ya watu bila gharama kubwa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuzuia namba yako isiweze kujulikana na truecaller..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kucheza game za kwneye sim kwa kutumia ps5 controller pad Hii imekaa poa saba kwa sisi GamersπŸ”₯πŸ”₯
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

πŸ’‘ Internet kupitia mwanga! πŸš€ Hii si Wi-Fi… ni Li-Fi – teknolojia mpya inayotumia mwanga wa LED kutuma data kwa kasi ya ajabu ⚑ πŸ“Ά Kasi yake inaweza kufika hadi mara 100 ya Wi-Fi! Je, unafikiria siku moja tutaachana na Wi-Fi kabisa? πŸ€”
πŸ’‘ Njia za Kupunguza Joto

Tumia Wi-Fi badala ya mobile data pale inapowezekana.

Funga apps zisizohitajika.

Epuka kutumia simu ukiwa unaichaji.

Tumia battery saver mode kwenye browsing ndefu.
2️⃣ Baseband Processor Load
Simu yako ina chip maalum inayoitwa baseband processor inayoshughulika na mawasiliano ya mtandao.
1️⃣ CPU Background Processes
Unapowasha data, apps nyingi huamka kimya kimya na kuanza kufanya kazi: