This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Jifunze Matumizi ya kila Usb unazokutana nazo kila siku na matumizi yake katika Vifaa mbalimbali

γ½οΈ Teknolojia
π¨Baada ya mapokeo ya Samsung A06 series (A06,A16, A26,A36na A56) kufanya poa kwenye soko mwishoni na mwanzoni mwa mwaka huu. Samsung wapo mbioni kuwaletea A07 series.
Huu utakuwa Muonekano wa Samsung A17π₯π₯π

5οΈβ£ Njia ya muda mfupi (bypass)
Ikiwa uko kwenye simu na screen imezimika kabisa:
Bonyeza power button kwa sekunde 1 kurudisha screen
Tumia earphones au Bluetooth ili usiguse screen kabisa
Tumia apps kama Call Confirm kuzuia kupiga bila kuthibitisha