6. 📱 Simu yenye 4G band finyu:
Simu nyingi za bei nafuu (za kichina) zinakuja na limited 4G bands.
→ Haziwezi kushika vizuri baadhi ya frequency za mitandao yetu.
✅ Hakikisha simu yako ina support 4G LTE Band 3 (1800 MHz) — inayotumika sana Afrika.

3. 🧱 Congested tower:
Mitambo ya 4G inahudumia watu wengi.
Wakati wa jioni au maeneo yenye watu wengi (shule, sokoni, kwenye event) — network inakuwa congested.
Matokeo? Internet ya kutafuna maneno.

💨 Wakenya toka wamfunge Congo wamekuwa na mdogo sana
Siku wakicheza na sisi Tanzania hata kama kitapigwa Nairobi lazima niende tuwafunze adabu 😂😂