Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ć€½ļøŽ Teknolojia

šŸ’Ø Infinix GT 30GT 5G+ šŸ”„šŸ”„šŸ”„

Hizi ni motošŸ”„
@Huduma

šŸ’Ø Chuma kama hii šŸ”„
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unatumia Wi-Fi ya bure? Kaa chonjo! VPN ni kama barabara ya siri inayokulinda unapotuma taarifa zako mtandaoni. Hebu tujue VPN ni nini, inafanyaje kazi, na kwa nini unaihitaji hasa ukiwa kwenye Wi-Fi ya umma!
5. āš™ļø Check APN settings zako:
Wakati mwingine slow speed ni sababu ya Access Point Name (APN) isiyo sahihi.

šŸ‘‰ Nenda Settings > Mobile Network > Access Point Names
→ Hakikisha umetumia APN ya kampuni yako (Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel n.k.)
2. šŸ“¶ Signal strength vs bandwidth:

Unaweza kuwa na full bars za 4G lakini still ukose kasi.

Hii ni kwa sababu signal ni intact lakini bandwidth (upana wa njia ya data) ni finyu.
4. šŸ”„ Airplane mode hack:
Washa Airplane Mode sekunde 10 kisha uzime.
→ Hii inalazimisha simu kutafuta tower mpya (ambayo inaweza kuwa less congested au stable zaidi).

Inasaidia mara nyingi kuliko unavyodhani.
7. šŸ“Location inahesabika:
Ukiwa ndani ya nyumba zenye kuta nzito, basement au kijijini — signal inaweza kudanganya (inaonyesha 4G lakini haina nguvu).
1. āœ… 4G haimaanishi speed ya juu kila mara.
Nembo ya ā€œ4Gā€ inamaanisha tu umeunganishwa kwenye mtandao wa 4G — si lazima upate high-speed internet.

šŸ” Speed inategemea bandwidth na network congestion.